kisuchangu1991
Member
- Aug 29, 2016
- 21
- 12
Halotel
duh ofa maalum hyo mi sina*149*03#
Hii Namba Kila Mtu ana Offer Yake Maalumu*149*03#
OkHii Namba Kila Mtu ana Offer Yake Maalumu
Nimemjib mshikaji aliyesema icho kifurushi kinaka saa 1 tu kimeisha labda kwa kuchat ndo nikamwambia nimetumia kuangalia Live Game mbili za Mpira pamoja na kuchat lkn bado hakijaisha Mb ka 1510 zimebaki nasubiria leo tena usiku nichek Uefa Psg vs Arsenal , sbb kwangu mm Voda inaonyesha bila ku buffer kuliko Halotel
Download Mobdro.apkMkuu iyo application ya kucheki Mpira live inaitwaje? Msaada mkuu ..afu icho kifurushi unaeza chek muv online au ku download?