Nobunaga JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 1,210 Reaction score 5,186 Nov 11, 2023 #1 Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa... Your browser is not able to display this video.
Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa... Your browser is not able to display this video.
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,917 Reaction score 31,769 Nov 11, 2023 #2 Ila kweli kutaka na sie wengine sasa sio warembo ila tunapendeka 😀😀
Depal JF-Expert Member Joined Nov 26, 2018 Posts 51,716 Reaction score 208,979 Nov 11, 2023 #3 Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Amehlo said: Ila kweli kutaka na sie wengine sasa sio warembo ila tunapendeka 😀😀 Click to expand...
Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Amehlo said: Ila kweli kutaka na sie wengine sasa sio warembo ila tunapendeka 😀😀 Click to expand...
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 16,272 Reaction score 51,825 Nov 11, 2023 #4 Apo sasa
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 40,429 Reaction score 69,216 Nov 11, 2023 #5 Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Mke wangu huwa anawananga Mashoga zake walioachika....anawambia usiombe Kuwa na Shape na Sura nzuri bali Ombea Bahati. Kiukweli Mke wangu sio Mzuri nikilinganisha na Mademu niliopita nao ila ndio nampenda balaa. Tabia njema, usafi wa hali ya juu, kutunza Watoto wangu kwa hali ya unadhifu muda woote. Nyumbani nikifika kama Kingdom ndogo. Kumwacha siwezi na akisafiri huwa anarudi kabla ya muda aliopanga maana nakuwaga siwezi kukaa peke yangu. Kwanza sijazoea kula migahawani na nikila wiki tu naanza kuumwa tumbo. Mimi atakaye niloga ni huyu huyu niliyenaye🤣🤣🤣
Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Mke wangu huwa anawananga Mashoga zake walioachika....anawambia usiombe Kuwa na Shape na Sura nzuri bali Ombea Bahati. Kiukweli Mke wangu sio Mzuri nikilinganisha na Mademu niliopita nao ila ndio nampenda balaa. Tabia njema, usafi wa hali ya juu, kutunza Watoto wangu kwa hali ya unadhifu muda woote. Nyumbani nikifika kama Kingdom ndogo. Kumwacha siwezi na akisafiri huwa anarudi kabla ya muda aliopanga maana nakuwaga siwezi kukaa peke yangu. Kwanza sijazoea kula migahawani na nikila wiki tu naanza kuumwa tumbo. Mimi atakaye niloga ni huyu huyu niliyenaye🤣🤣🤣
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,436 Reaction score 92,227 Nov 11, 2023 #6 Amehlo said: Ila kweli kutaka na sie wengine sasa sio warembo ila tunapendeka 😀😀 Click to expand... ❤😘
Amehlo said: Ila kweli kutaka na sie wengine sasa sio warembo ila tunapendeka 😀😀 Click to expand... ❤😘
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 45,429 Reaction score 95,911 Nov 11, 2023 #7 Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Hahahahaha
Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Hahahahaha
Amehlo JF-Expert Member Joined May 8, 2019 Posts 10,917 Reaction score 31,769 Nov 11, 2023 #8 Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Kwa kweli masha’allah namshukuru Mungu napendeka
Depal said: Hakikisha unapendeka my wangu..full stop. Sura hata mbuzi anayo Click to expand... Kwa kweli masha’allah namshukuru Mungu napendeka
S StudentTeacher JF-Expert Member Joined Jan 30, 2019 Posts 6,612 Reaction score 7,820 Nov 12, 2023 #9 Amehlo said: Kwa kweli masha’allah namshukuru Mungu napendeka Click to expand... Una maisha marefu Sana[emoji3]
Amehlo said: Kwa kweli masha’allah namshukuru Mungu napendeka Click to expand... Una maisha marefu Sana[emoji3]