Ni mkoa gani?

sawabho

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
5,286
3,107
Wana JF wenzangu kwanza poleni kwa mkesha wa kusubiri mwisho wa dunia. Baada ya pole hiyo, nina jambo hili, kuna thread hapa JF zimekuwa zikijaribu kutujuza mikoa inayoongoza kwa uchawi, ukatili, watu wapole, wizi n.k. Mimi niliona lengo zuri tu, ni kuwaonyesha watu wa mikoa hiyo kuwa pamoja na mazuri waliyonayo au wanayofanya bado kuna mapungufu yanayohitaji kukemewa aidha yasirurudiwe au yaachwe ili watu waishi kwa amani.

Hebu tupate taarifa kuhusu hili nalo; ni mkoa gani wenye au uliwahi kuwa na tabia ya/za kutisha ambayo/ambazo wewe kama binadamu ulipozisikia au kuona mwili wote ulikusisimka na kujiuliza kama kitendo hicho kimefanywa na binadamu.

Ukitaja mkoa, taja na tukio husika. Mimi naanza:

1. Mbeya - kuchuna ngozi za binadamu, kupiga nondo kichwani kwa ajili ya bucha
 
Back
Top Bottom