Orketeemi
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 4,314
- 10,017
Wakuu suala la usafiri ndani ya mji au jiji umekuwa na changamoto tofauti tofauti sehemu mbali mbali.
Sijafika miji au majiji mengi ila kati ya majiji/ miji niliyofika ambayo ni DSM , Arusha, Mbeya , Dodoma na Moshi basi kwangu Mbeya ndio jiji lenye usafiri bora kabisa wa daladala.
Sifa kubwa za usafiri huu kwa Mbeya ni pamoja na:
1. Asilimia 90 daladala za jijini Mbeya ni coaster .
2. Asilimia 90 ya coaster hizo zina hali nzuri sana.
3. Makondakta wa daladala za Mbeya Ni wakarimu na wasafi sana.
Kati ya Majiji au miji niliyofika Arusha ndio naipa nafasi ya mwisho kwa huduma za usafiri wa daladala.
Je wengine mmefika wapi penye huduma nzuri zaidi za daladala kuliko jiji la Mbeya?
Pichani ni daladala za Mbeya