Si sahihi Kiongozi.
Unachotakiwa wewe ni kuwa karibu nae mpaka hatua ya Mwisho.
Usumbufu utakaoupata ni moja ya Changamoto, na pia ni moja ya njia ya kujifunza kumfahamu/kumjua Mwenzio.
Hali zote za Mama watoto wako mtarajiwa uanatakiwa kuzifahamu.
Kuna mambo mengi tu ya kujifunza, inaweza kutokea siku moja Usiku mzima wote wawili msilale kutokana na Machungu anayojisikia mwenzio. Hapo utapata kazi ya kubembeleza na kupakata mpaka basi.
Kuna mengi sana.
Wewe lete MASUALI Kiongozi.
Unakaribishwa