capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
In short,Ww sio mvumilivu ndio maana hata kuoa umeshindwa.
Soon to be my wife chief,Sijakuelewa,huyo mwenye ujauzito ni mke unaishi nae au ni mdada tu sogea tukae?
Asante,Hongera mkuu
Asante Chief, nataka kujua nikiamua kaa nae mbali kidogo mpaka ajifungue ili kupisha izo vurugu na kero ni sahihi?Ujue mwanamke Mjamzito anakuwa anabadilika badilika.
Mfano Ujauzito wa kwanza anaweza kuwa hana usumbufu wowote.
Ujauzito wa pili anabadilika.
Mfano Mida ya kulala ukitaka kumshika hataki.
Ukiomba Mchezo hupewi, nakuambia hapo Usingizi hauji UUME utakusimama Usiku kucha.
Unaomba, basi niachie nishike Tumbo ili nipate kumkumbatia mwanangu, utaachiwa lakini kiroho upande.
Kugombana na kununiana ni vitu vya kawaida sana.
Kitu ambacho yeye amekatazwa na Daktari, yeye ndio anachotaka kukifanya.
Haya mambo ukielezewa huwezi kuyaelewa mpaka wewe ndio uwe Muhusika mkuu ndipo utakielewa ninachokisema hapa.
Kwa kweli ni mengi yanatokea na huwezi kuyakumbuka haraka haraka, na mengine hayaelezeki.
Kiongozi,
Karibu sana kundini.
Kama una swali lolote au msaada wowote unaouhitaji, usisite wewe uliza tu
Duh! Nafanyaje yote hayo, iwapo kuniona hataki? Lengo langu ni tusigombane Mkuu na zaid asinifanye nimkasilikie/kumchukia.Kuna Vijanaume Vinakera,yaani Hata Hujaona Kisirani,hujaona Matapishi Hujaagizwa Kitumbua Kwa Mama Juma,Ushaweka Defensive Mechanism,kudinya Udinye Wewe Karaha,furaha Umpe Mama Yake,embu Tuwapumzishage Mama Zetu Jamani
Kushindwa kwangu unakujuaje mumu?In short,Ww sio mvumilivu ndio maana hata kuoa umeshindwa.
Asante Chief,Mkuu hata ukiwa wap...simu zpo mtagombana tuu
Asante!Wewe Mvumilivu umeolewa?
Asante Chief, nataka kujua nikiamua kaa nae mbali kidogo mpaka ajifungue ili kupisha izo vurugu na kero ni sahihi?
Nashukuru sana,Be a man, matatizo hayakimbiwi
Uzoefu wako nin brother katika hiliHongera na pole pia