NI misemo ipi au maneno yapi ukiyasikia unakumbuka uchaguzi wa Arumeru mashariki?

Lucas

JF-Expert Member
Dec 3, 2011
2,457
1,108
HAbari wapendwa?

Mimi kwa kweli kila nikisikia yafuatayo nitakumbuka tu Arumeru mashariki
1. Lusinde
2. Nassari
3. Sioi
4. Tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu
5...........
6...................

Endeleeni basi na nyinyi... wewe ni neo lipi ukilisikia tuuu unakumbuka uchaguzi wa Arumeru? Mnisamehe maana sera hata sizikumbuki sana!!
 
Mi ntakumbuka- huyu kafiwa na babake tumfute machozi kwa kumpa ubunge. Niwarambe nisiwarambeeee?
 
Kamata Mwiiiiiiiiizi Men, na kuna nyimbo za chadema kwa kweli ukizisikiliza unaguswa sana tena sana.
 
msiwe kama Jogoo anatongoza akisema atamnunulia gauni tetea wakati akiinama hata chupi hajavaa
 
>dk. Kala sadaka za papa!
>vincent si mwanafamily ya nyerere!
>nyerere ka-dead-shwa na bwm. "mmmmh! Hii ndio noma zaidi"
 
Back
Top Bottom