Ni mimi tu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni mimi tu!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MONTESQUIEU, Mar 8, 2011.

 1. M

  MONTESQUIEU JF-Expert Member

  #1
  Mar 8, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 847
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Jamani cjaelewa kabisa yaani P.A.Y.E kwa wafanyakazi ni kubwa mno!

  Yaani inatisha, mie kila nikipokea salary slip yangu nazidi kuichukia serikali kwa kunikata pesa zangu tele na huku maisha yakizidi kubana ...Jamani hivi wafanya biashara wanabanwa hivi?
   
Loading...