MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 6,544
- 11,644
Mbona kama Samia ameapishwa na Gwaride lenye mapungufu ya kimamlaka.
Pia hawa Askari wa Gwaride walilazimishwa au ilikuwaje?
CCM msipuuzie hili, nchi iko chini ya Jeshi now, wamemnyima mamlaka yake kwa mkakati maalumu, ili wamtoe wakitaka... CCM jisafisheni haraka kabla jeshi halijawafuta...