Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

Ni mimi au binti ndo mwenye matatizo?

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
23,712
Reaction score
57,222
Mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa.

Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole sana kifupi sijawahi kuwa na historia ya kugombana na mtu.

Kutokana na utu nilionao watu wa jinsia zote na wa kila rika wamekuwa wakipenda kukaa na mimi, alafu kubwa zaidi mimi ni mtu ninayejua karibu kila kitu hamuwezi kuamini lakini najua lugha za makabila zaidi ya 10 kuzizungumza japo sio kiufasaha sana, najua pia kufanya kazi nyingi na kwa bidii yaani kila ninayeishi nae huwa anadai kunifurahia sana naweza nika socialize na kila mtu najua kuchekesha, watu wote wananipenda kwa sababu kila tukipga stori huwa nasikiliza na pia nachangia kwa hoja nzuri na zenye maana, IKUMBUKWE PIA NI MUONGEAJI MKUBWA SANA.

Tukiwa wawili naongea sana napenda kutawala mazungumzo yote nikigundua unapenda mieleka basi ntajitahidi kufuatilia nini kinaendelea ili siku tukikaa tukipga story kuhusu mieleka basi ntakuwa nakuteremshia habari zote kwa ukweli na uhakika hivyo hivyo pia katika muziki, siasa, biashara, tiba, movie, utani, fasheni, science na technology najua kuhuru sanaa pia nafanya sanaa.

Chumbani kwangu kuna vitabu vingi sana zaidi hata ya 200 alafu pia natembelea mitandaon sana hata hapa JFkaribia kila jukwaa natembelea kujifunza kutoka kwa magreat thinker wenzangu hivo najua mengi sana.

sijisifii lakini nahisi nina akili sana na nikigundua hulka yako, kama ni marafiki tunaokutana mara nyingi basi ntafanya juu chini nijifunze mengi unayopenda kusikia ili twende sawa, najua kucheza na akili za matajiri mpaka maskini , watoto wadogo wananipenda sana, wazee pia wanadai na nidhamu sana na ni ukweli mtupu nahisi sijazaliwa na hasira.

Watu wengi sana wanapenda ku share mambo yao na mimi na kwa kulijua hilo mda wote nachunga ulimi wangu nisikukwaze wala kuongea mabaya.
Kimsing nadhani mmeshanielewa mimi ni raia wa aina gani.

Hivi karibuni nilipata mpenzi mtoto flani wa kishua nikawa nikikaa nae nampigisha stori weeh kama ilivyo tabia yangu na kwa kuwa mdada mwenyewe sio mwongeaji kivile na mimi kama nilivowaambia najua kila kitu basi ikawa ndo jukumu langu kumstorisha .

Eti juzi from now where kaamua kuachana na mimi, nikamuuliza rafiki yake akanambia eti binti havutiwi na mimi sijui ooh na kiherehere sijui mara ooh naongea sana.

Sasa huyu mwanamke ana matatizo yake au ndo wanawake wote hawavutiwi kimapenzi na wanaume wa tabia zangu?
 
Kwani lzm akupende kwa hizo sifa ulojiwekea? Yeye hapebdi hizo. Au unafikiri umemaluza kila kitu hapo kwamba watu wote sasa itabidi wakupebde? Love has no theory. Tazama anataka nn yy na sio wewe na visifa vyako ht havijai kiganjani.
 
Achana naye, kuna atakayekupenda kwa ulivyo, kila binadam ana mapungufu yake, na kila mtu ana jinsi yake anavyoona kama anaweza kuyaishi mapungufu ya mwenzake.

Hahahahaha adnepemin erub iruahsohcilu jamaa kajisifia Sana buana
 
Mr.Perfect,!? Lakini wanawake hasa wa kishua wanajisikia sana mambo mengine ya kumwambia tu mtu na kama hayamdhuru anaweza kubadilisha hilo kwa ajili yako,IT'S NOT FAIR.
 
Mimi ni kijana fulani mdogo hivii, labda nianze kwa kuwaelezea sifa zangu ili nisaidiwe kwenye hili linalonikabili kwa sasa.

Mimi ni mchamungu japo sio sana lakini ni mtu mstaarabu alafu mpole sana kifupi sijawahi kuwa na historia ya kugombana na mtu.

Kutokana na utu nilionao watu wa jinsia zote na wa kila rika wamekuwa wakipenda kukaa na mimi, alafu kubwa zaidi mimi ni mtu ninayejua karibu kila kitu hamuwezi kuamini lakini najua lugha za makabila zaidi ya 10 kuzizungumza japo sio kiufasaha sana, najua pia kufanya kazi nyingi na kwa bidii yaani kila ninayeishi nae huwa anadai kunifurahia sana naweza nika socialize na kila mtu najua kuchekesha, watu wote wananipenda kwa sababu kila tukipga stori huwa nasikiliza na pia nachangia kwa hoja nzuri na zenye maana, IKUMBUKWE PIA NI MUONGEAJI MKUBWA SANA.

Tukiwa wawili naongea sana napenda kutawala mazungumzo yote nikigundua unapenda mieleka basi ntajitahidi kufuatilia nini kinaendelea ili siku tukikaa tukipga story kuhusu mieleka basi ntakuwa nakuteremshia habari zote kwa ukweli na uhakika hivyo hivyo pia katika muziki, siasa, biashara, tiba, movie, utani, fasheni, science na technology najua kuhuru sanaa pia nafanya sanaa.

Chumbani kwangu kuna vitabu vingi sana zaidi hata ya 200 alafu pia natembelea mitandaon sana hata hapa JFkaribia kila jukwaa natembelea kujifunza kutoka kwa magreat thinker wenzangu hivo najua mengi sana.

sijisifii lakini nahisi nina akili sana na nikigundua hulka yako, kama ni marafiki tunaokutana mara nyingi basi ntafanya juu chini nijifunze mengi unayopenda kusikia ili twende sawa, najua kucheza na akili za matajiri mpaka maskini , watoto wadogo wananipenda sana, wazee pia wanadai na nidhamu sana na ni ukweli mtupu nahisi sijazaliwa na hasira.

Watu wengi sana wanapenda ku share mambo yao na mimi na kwa kulijua hilo mda wote nachunga ulimi wangu nisikukwaze wala kuongea mabaya.
Kimsing nadhani mmeshanielewa mimi ni raia wa aina gani.

Hivi karibuni nilipata mpenzi mtoto flani wa kishua nikawa nikikaa nae nampigisha stori weeh kama ilivyo tabia yangu na kwa kuwa mdada mwenyewe sio mwongeaji kivile na mimi kama nilivowaambia najua kila kitu basi ikawa ndo jukumu langu kumstorisha .

Eti juzi from now where kaamua kuachana na mimi, nikamuuliza rafiki yake akanambia eti binti havutiwi na mimi sijui ooh na kiherehere sijui mara ooh naongea sana.

Sasa huyu mwanamke ana matatizo yake au ndo wanawake wote hawavutiwi kimapenzi na wanaume wa tabia zangu?
Stori Yako Imenikumbusha Nyuma Kidogo...Niliwah Kupendwa Na Binti Kutokana Na Upole Wangu Na Kutokua Muongeaj Sanaa...Kwa Hilo Silishangai..Sio Kila Mwanamke Anapenda Mwanaume Muongeaji...Ni Sawa Tuu Yy Kusema Hivyo!! Hata Mimi Sipendag Mwanamke Muongeaji Sanaa....Unakuta Mtu Anatumia Muda Mwingi Kuongea kuliko kutenda!! Pengine Na Ww Hii Tabia Unayo Na Umeonyesha Unayo!!
 
"mimi ni mpole sana na wakati huohuo ni mzungumzaji sana"..is it make sense?

hii ni sawa na harlot anayejinadi kuwa yeye ni bikra

anyway,labda hukumwambia hizo sifa ulizo zitatanza kwenye huu uzi!
 
Ah ah ah, opu? Ogod in hcum wonk, aegnoana utiv oyvabma atah awziluajah oidn anaam umed anowmak erehik ereh.

Hahaha opin uukm.... An ilewk asibak atah imim anowmegnin erehik ereh eeesia
 
Ayabm idiaz utm anatukanm ukis ay aznawk aegnoana ikih aegnoana elik, ili enakiluja aujana etoyv. Adihs anas.
 
Inaaay!!! Iujis inan aynagnadmila oyah agniju uputm uuh!! Oot hcum wonk ebmuk tnod wonk.
 
Back
Top Bottom