Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 10,458
- 12,192
Itafika wakati mtakuwa wapinzani ndani ya nchi hii... huo wakati ukifika wengi wenu mtaishia jela na kupigwa mawe na wananchi! Lakini pia ushahidi wa kimazingira unaonesha kuwa CCM itasambaratika punde baada ya kung'atushwa madarakani!
Mafanikio hayo unayojivunia si sawa na utajiri wa nchi hii... mnapingwa na kukosolewa kwa sababu mmeshindwa kufanya makubwa ukilinganisha na dhamana mlopewa!
By the way; hapa napoteza muda tu make naongea na shabiki anayemsifia mchezaji kwa kupiga chenga na kufunga magoli... sijuhi alitegemea mchezaji wake alale usingizi uwanjani...???
Kusimamia maendeleo ni jukumu la serikali wala haitakiwi kupongezwa; ila inaposhindwa kusimamia vizuri rasilimali za taifa na kuendekeza/kubariki rushwa na ufisadi ni lazima wenye busara wapaze sauti!
Mungu anipe miaka mingi nije nikione kipindi chenu mkiwa wapinzani kama mtakuwa mnaisifia serikali kwa kila kitu.... sitegemei make hata sasa hivi mmeacha kazi yenu ya msingi mmebakia kuwakosoa wapinzani utadhani wao ndo wapo madarakani!