Aombe uchumba alafu wasubirie mwakani au hata minne mitano mbeleni kufunga ndoa kama tatizo ni miaka tu!!Maana kama anampenda kweli sidhani kama hilo litashindikana!!
Ila kama nia yake ilikua kumchezea mtoto wa watu aachane nae!!Aanze kwa kuhakikisha mahusiano ya chumbani anasitisha asap....alafu avumilie muda kidogo upite ahakikishe binti
hajaambulia ujauzito kama walikua
haazingatii kinga.Baada ya hapo aanze vimbwanga vya hapa na pale ili binti ndo amuache yeye kumuepushia mtoto wa watu maumivu kwa kiasi flani!!
Next time asiingie tu kichwa kichwa....atanyea debe!!!
we maria wewe...umejuaje? 17 inasemekana siku hiz vikonzi hawana labda 15.
Lizzy unaona wanavojisifu? Umeona Mtu m1 anavojigamba na midharau yake? Yaani pamoja na maovu yote hayo bado anajisifu na kumwita mwanamke eti chakula yake, si dharau hii jamani? Itafikia kipindi itakuwa unyama unyamaaa!! Haya wao waendelee tu kutumia na kutupa ila mwisho wa siku mi nasema ITAFAHAMIKA TU!
hii technique hata mimi imeishanisaidia sana kuwamwaga mademu kadhaa bila misukosuko mingi..
jamani ushauri huu wa lizzy uzingatiwe tafadhari, ukimchoka demu usimwache bila kumchokoza kwanza. mfanyie vituko vya makusudi na ujifanye huambiliki hata kwa kikombe cha babu hadi mwenyewe aseme basi, moyoni mwake atajisikia amani akiona kuwa yeye ndiye kakupiga chini kumbe we ndio hivyo ulishammwaga zamaniiiiiii
waacheni wawe wanajifariji na tu-feelings kama huto, after all ulishajifaidia utamu wake so hakuna kinachoharibika hapo. inasaidia sana kuwaondolea maumivu, si mnajua tena jamani wanawake waliumbwa kama chakula yetu?
Na nyie ni chakula cha kina nani????
haha, mi nilidhani umeishapumzika na hutasoma hapa, kumbe?
but anko wangu aliwahi kuniusia kuwa a man has only one bomba for himself but a woman has two bombaz, one for herself and the other for a man! kuna ukweli hapo sister lizzy? embu nipe shule kidogo hapo dadangu huenda nikaanza kubadili mtazmo wangu juu ya ma-she
Easy! Amwoe mwakaniJF eeeeeeeeee. Kuna watu hawajui hata hii kitu inatumiwa vipi! Husninyo huyu binti ni mzuri bana! Yaani akipita hata wewe unageuka! Ametu-discourage sana. Jamaa yangu siku za karibuni La Liga alikuwa hakosi bana. Kisa mama anataka kwenda club. Ha ha haaaaaaaaaaa kweli kupenda!
Hahahah...nipo sana!1
Hapo kwenye nyekundu sijakusoma....fafanua kidogo!
Hahhahaha umepinda wewe....nwy bado hairuhusu kumtumia mwenzako unless nae anakutumia!!hahah, lizzy usiniangushe bwana, ina maana hujui kuwa ma-she wana line mbili mbili, tigo na voda?
Hahhahaha umepinda wewe....nwy bado hairuhusu kumtumia mwenzako unless nae anakutumia!!
Hapo sasa mtoto akilia na mama analia!mmh! Amsubirie japo 5 yrs, binti awe na 22 njemba 40. Mmh! Kababu na kajukuu. Lol!
We ndo unasema haoi! Yuko serious kabisa jamaa anataka kuoa nyie mnasema nini! Kaja kwa wazee wa kaya tukaseme kwao kuwa kuna jamaa kaona UA anataka kulichuma!Jamaa kapiga mzigo kachoka ndo anajidai kadogo, hakuna muoaji hapo.
Watoto waskuhizi wakubwa kuliko wazee madharau tuache.