pamoja na kusoma kwangu phyics&mathematics mpaka chuo kikuu sijawahi kukutana na theorem yoyote ya huyu mtu,labda huko kwenye hesabu za madrasa.
Tunahitaji uhimizaji mkubwa kwa vijana wetu kuyarejea kila aina ya mang'amuzi!Degree is not a skill.hivi umewahi kusoma encyclopaedia ya physics usilione jinahilo?au ndio degree za kukariri hand out.hamsomi mpaka kuwe na mitihani??.am glad idid not go to the schools that you went.jaribu google hilo jina ujionee mambo.
Kuna mengi ya kujifunza kutokana na sehemu ya wanaojita wasomi ilihali mengi na mepesi kama haya hawayajui!Degree za Tanzania bure kabisa.hammjui mtaalam huyu?am sory.
Asante sana kwa kuamua kuleta mifano hai ya machapisho yake, hii inajidhihirisha uwepo wetu hapa jf!Acha kukariri wewe kwenda shule ni kuelimika siyo kumaliza madarasa
View attachment 53547
View attachment 53546
Hii ni mpya sikuwahi kuiskia pamoja na kusoma sana hesabu na fikizia
Tunadanganywa na kupumbazwa na wazungu! Hongera sana Yericko Nyerere kwa kutufumbuaHii ni mpya sikuwahi kuiskia pamoja na kusoma sana hesabu na fikizia
peleka jukwaa la dini haya makitu..!!