Revola
JF-Expert Member
- Apr 14, 2015
- 1,408
- 1,157
Tukubali tukatae yanga ya sasa siyo kinyonge aisee, kuna mashabiki wakati yanga inapoteza nyumbani kwa CR, watu wengi sana walisema yanga atamaliza kundi wamwisho na hatopata point(poor mindset) kwamba wapinza watajichapia mwanzo mwisho hii ni mentality ya USIMBA NA UYANGA (KUBEZANA).Kila Yanga inachokifanya watu wanaleta ujuaji. medeama watu walianza "moto wa medeama yanga watauweza?
Wamemfunga CR sijui ijiandae kisaikolojia" Haya imekwenda huko kwako imetoka sale, kaja hapa medeama huyo huyo aliyekuwa anasifiwa sanaaa katepeta nje ndani, sasa hivi wanaleta tena ushabiki kwamba yanga itamuweza CR Sijui itamfunga kwa mkapa? Sasa makosa yaliyofanyika mara ya kwanza kule kwa CR unadhani yatajirudia? CR anakitu gani kikubwa cha kutokufungwa na Yanga?
Shida yetu watanzani upumbavu umezidi yani mtu badala akubali yanga performance yao ipo vzr kila hatua anayopiga lazima aletewe dharau ya vikwazo. "Mnaweza kumfunga CR kwa Mkapa?" asifungike ye nani? Kwenye mechi za yanga zoote alizocheza yanga kuna mechi ambayo alizidiwa kabisa kashindwa kucheza? Yoyote ile? Ambayo ameperfom vibaya?
Tuache ushabiki wakipumbavu na tuwe tunakubali vyakwetu hata kimya kimya, yanga ingekuwa niyazimbabwe hukoo mngeikubali Ila sababu ni ya Tanzania basi lazima ipewe vikwazo. Hata kama hawatofungwa CR Ila msitegemee yanga itakuwa mdebwedo CR wapige kambumbu kweli kweli kama kafungwa na Medeama ambae yanga kamchezesha kama mtoto CR ninani? Tuache stupid mindset kila siku kuongea kwa vikwazo bila kuikubali yanga performance yao ipo vzr sio mnyonge kwenye kundi wala haya mashindano yanga sio mnyonge wanaijua vzr tokea haya mashindano yalipoanza mwaka huu 2023, haijawa kinyonge sana kwenye performance. Na mechi yake yakwanza wangetoka suluhu na CR unadhani CR angekuwa kwenye wakati mgumu kiasi gani sema ni football tuu ukifanya mistake mpinzanj anatumia nafasi. nje na hapo nikiona mtu anaibeza au kutokuivalue yanga kwa performance yao kwenye haya mashindano basi namuona huyo mtu ni stupid na mindset yake imejaa upinzani tuu na sio reality ya mpira anayoipiga yanga kwa sasa.
Mimi sio Simba wala Yanga naongea kifootball zaidi watanzania tuache ujinga akilini mwetu tuvalue timu zetu. Simba kwa sasa baada ya kocha kurudi wamerudi na mood kubwa sana wapo vzr pia performance imeongezeka maradufu wakijitahidi robo hii hapa kwao. All the best both.