Ni mechi gani ya CAF champions 2023 Yanga imecheza na kuzidiwa? Ukiacha ile ya CR aliyofanya mistake akufungwa?

Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out

Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Hizo point zitapatikana sema jingine! Maana mbumbumbu mmekomaa na yanga mnasahau yanga ndiyo timu Bora kuliko zote ukanda huu wa afrika MASHARIKI KWA Sasa sio timu ya ungaunga mwana Kama timu yenu, soka wanalicheza kokote pale aijalishi ugenini ama nyumbani ivyo mtulize mikebe yenu!
 
Mtoto wakiume unaonesha emoj za kucheka utaingiziwa vigunzi matakoni, kama mwanaume anaandika unashangaa kwa emoj tafuta mashoga wenzio utawaelewa.
Kaka umenena, mimi nashangaa kuonaga wanaume wenzetu wakitumia emoj. Dunia imebadilika sana.
 
  • Thanks
Reactions: NYS
Sawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Alichokipata medeama, ndicho anakutana nacho CR, yule mwarabu naiona harufu ya kupigwa 5.
 
Mbona yanga alizidiwa na warabu wa misri hapo kwa mkapa kwa takwimu zote?
Au huufuatilii mpira
Mpira ni 3 au 1 point(s) na kufikia malengo hata kama timu imeongoza kwa ball possession, coners, shots accuracy, shots on targets, set pieces, players and Coach disciplines bado ni sawa na bure tu kwa full time "90 minutes".

Mechi ambazo Yanga hajafungwa na akasuluhu bado hajazidiwa chochote na timu yoyote.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Sawa ni football brother, hakuna shida, Alhaly mwenyewe thenyewe ni best team ina point 5 itakuwa YANGA????? Hapa sasa ndio ujue kwenye kundi lao hakuna mnyonge point za vibaba sio kama kundi la simba kundi la simba wakwanzanapoint 10 Ila kundi la YANGA Watu waliitabiria yanga kwamba kwenye haya mashindano watakuwa vibonde huo ukibonde wewe shahidi je performance yao kwenye kundi yanga nikibonde??? Ukiona kundi points nizavibaba basi jua kabisa kundi nilawanaume watupu. Yanga walisema ataishia wamwisho kwenye kundi watu watajipigia Ila mziki aliouonesha nadhani hata wao wamerudi nyuma kuitafakari. Na nikwambie CR mwenyewe anakuja kwa makapa sio kuchota point kizembe tuu kama kwao apige kabumbu kweli kweli. Namalizia kwa kusema yanga sio kinyonge tofauti na watu walivyokuwa wanasema.
Bila Mbeleko ya Mediama kule kwao kwa red card na kukataa goli la wazi Yanga hadi sasa angekuwa na clear 7 points.

Yanga wajifunze kwa Makolokolo SC kucheza nnje ya uwanja maana mpira wa Africa huwa unajulikana hauendi bila magumashi hata kama una timu bora kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Unajua maana ya kuzidiwa? Kuzidiwa ni kama vile Simba alivyopakatwa 5.
Kwenye mpira, kuzidiwa ni kupoteza point 3. Sasa kama inadhani ni lazima ziwe goli 5, inabidi utueleze kama kuna utofauti wa point unaopatikana kwa kushinda goli nyingi au chache.

Watu wengine mpira mnalazimisha tu, tulieni ndani mkate nyanya jikoni.
 
Yanga sio tu anatakiwa kuifunga CRB kwa Mkapa, anatakiwa kwenda kutoa sare au kumfunga Ahly kule Misri, la sivyo ni out

Anahitaji pointi 4 kutoka hizi mechi mbili zilizobaki
Na Simba ni vipi? Tupe naye anatakiwa nini.
 
Hizo point zitapatikana sema jingine! Maana mbumbumbu mmekomaa na yanga mnasahau yanga ndiyo timu Bora kuliko zote ukanda huu wa afrika MASHARIKI KWA Sasa sio timu ya ungaunga mwana Kama timu yenu, soka wanalicheza kokote pale aijalishi ugenini ama nyumbani ivyo mtulize mikebe yenu!
Zipatikane kwanza ndio ubwabwaje
 
Bila Mbeleko ya Mediama kule kwao kwa red card na kukataa goli la wazi Yanga hadi sasa angekuwa na clear 7 points.

Yanga wajifunze kwa Makolokolo SC kucheza nnje ya uwanja maana mpira wa Africa huwa unajulikana hauendi bila magumashi hata kama una timu bora kabisa.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kabisa mkuu lile goli tungeshinda kwa mediama tungekuwa tunaongoza kundi aiseee
 
Back
Top Bottom