Ni mchezaji gani anayeweza kujiunga na Arsenal ya Wenger ?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,703
218,231
Kama wachezaji wazuri wanaondoka , timu haishiriki Champions League wala hakuna dalili ya kushiriki next year , haipiganii ubingwa wowote ule hata Ndondo Cup na juzi imefurumushwa na timu isiyo na daraja ya Nortingham Forest kwa kipigo kikali mithili ya Nyau aliyekunywa maziwa ya mtoto , ni mchezaji gani wa maana anaweza kuvutiwa na Arsenal ?

Nawapa pole sana mashabiki wa Timu hii , bado sijaelewa lengo la Arsenal kushiriki mashindano , je ni kuuza sura tu ?
 
Kumbukumbu zinaniambia Arsenal ya Wenger ina rekodi ambayo haijavunjwa na Club yoyote ya Premier League hadi sasa .Kwa sasa nadhani Arsenal ipo tu kwenye "low tide' itakuja ibuka kama 2004 ilivyokuwa
 
Kroenke ampe timu yule jambazi Usmanov, Dangote baada ya kuporomoka sijui kama ana hamu tena ya kununua timu.
 
Nimeshuhudia Shabiki wa Arsenal akilia mchozi baada ya kipigo na dhihaka toka kwa shabiki wa chelsea na man u
 
Wenger is very stupid, nakubaliana na wewe itakuwa ngumu kuwapata wachezaji wenye majina kujiunga na arsenal. mchezaji analala disco akipiga makelele halafu unamchezesha? wangekuwa makocha wanaojitambua sijui ingekuwaje. Hata top six is a dream for arsenal under that foolish man. Other rubbishes to be sold :
1. welbeck
2.Chambers
3. Holding
4. Xhaka
5. Walcot
6. Elneny
7. Debuchy
Sasa hivi Wenger amebaki kuua vipaji vya wachezaji
 
mwenye timu ameshanukuliwa akisema hakuinunua arsenal ili ishinde vikombe, Wenger anachofanya ni kukuza vipaji vya kuuza, alijitutumua kumtaka Lemar lakini ulikuwa kama usanii fulani. Tukimtupa watamchukua Psg au real madrid.
 
Kumbukumbu zinaniambia Arsenal ya Wenger ina rekodi ambayo haijavunjwa na Club yoyote ya Premier League hadi sasa .Kwa sasa nadhani Arsenal ipo tu kwenye "low tide' itakuja ibuka kama 2004 ilivyokuwa
Arsenal itaendelea kuwa ktk low tide mpaka Wenger aondoke.
My fingers are crossed timu ifanye vibaya zaidi.
 
Back
Top Bottom