Ni maono yangu 2030 January Makamba Mgombea CCM wakati Polepole akiungana na Bashite Kwenda Upinzani

Upande "ULE" unamaanisha ni upi boss, maana kama ni ndugu zetu wale tunaowafata kwa boti sasa hivi ndio wameishika nchi, au unamaanisha "upande ule" wa kiimani?Binafsi ningependa kumuona "Prince" anayeongoza visiwani kuja kushika nchi
 
Ukisoma mjadala unvyoendelea hapa, picha inayokuja ni ya nchi ya CLOWNS.

Kuna kitu kama kukata tamaa na kuachana na dhana kwamba Tanzania inaweza kuwa nchi ya “substance”; yenye mwelekeo wa maana. Badala yake, ni bora kutafuta CLOWN yupi ni afadhali ya wengine wote awe Rais!
 
2030 ni zamu ya mkristo,msitake kutuchanganya ,mtaleta Vita

USSR
Mimi ni Mkristo ila hii nchi bora wawe wanaongoza wa upande huo mwingine maana sijui kwanini sisi huwa tunambatana na roho ngumu sana.

#MAMA 2025
 
hakuna jipya
 
Makamba kama atafanikiwa kumaliza tatizo la Tanesco na watanzania wakapata umeme wa uhakika na gharama nafuu ndipo atakuwa na uhakika 2030 kuwa mgombea wa CCM
 
Yaani badala ya kuwaza nchi itakua imepiga hatua gani kwenye upande wa maendeleo ya watu na vitu ifikapo hiyo 2030, sisi bado tunawaza nani atakuwa Rais!!

Kwa hali hii wacha tu tuendelee kusindikiza wenzetu. Maana hakuna namna.
Kwani hujui utaratibu wa CCM na wanamtandao wa urais na madaraka na wapigaji nchi hii, wanafikiriaga kwa patterns ya miaka mitano mitano ili wapige na ndio maana you will never see anywhere zile sijui the big agenda, MKUKUTA, MKURABiTA, vision 2025 na the likes zikifanikiwa. Never sababu ni kuwa hatuna viongozi wenye uwezo wa kufikiria in long term, ni mitano mitano.

Ni wachache sana ambao nao mfumo huwa unawafanyia character assassination kama sio kukuondoa mazima.

Yaani watu huwaambii wanamtandao wanafikiria 2025 na 2030 ect ect

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Utabiri wako umekosea kidogo sana..

January Makamba atagombea 2025 atakuwa madarakani kwa 5yrs kama Mwenyezi Mungu atatujalia uhai... Mama mwisho wake 2025, its planned ila amejaribu kuwapoteza watu maboya kwa kurusha ndoano ya 2025 (its fake candidate - this is normal JK startegy) hapo kuna watu wameshapotezwa watapambana na Mama kama walivyopambana na Membe then finally inakula kwao..
 
Kwa sasa Makamba Jnr ameletwa kujisafisha na kutengeneza imani kwa raia ndio maana amepewa hiyo wizara..
 
Watu wanaomwona Januari anakili ya kuwa Rais nawadharau sana!
 
Mkuu hii ni kujifariji tu.
Mama anatoboa mpaka 2030. Halafu anaweza kuitisha mchakato wa katiba karibia 2030!!
January ana ubavu wa kupambana na Mama. Hata hawa kina Polepole watashungulikiwa kimya kimya mpaka ukifika wakati wa uchaguzi watakuwa wanapumulia mashine!!
 

Jannuary na Mama wote team moja, aliyeshika remote ndio ameengineer uwepo wao hapo wote na ndiye anayeicheza game.....kwa sasa anasogeza kete tu ( kwa michezo hiyo ni mtu makini sana maana kuna mtu mpaka leo hana hamu tena anapiga mitungi tu sasa..)... kauli ya mama ni mbinu ya medani kwa mshika remote kuwapoteza maboya then inapigwa free kick kama 2015....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…