Ni Maneno ya Sitta yanatimia?

Ni Maneno ya Sitta yanatimia?

long'oi

Senior Member
Joined
Jul 16, 2011
Posts
119
Reaction score
69
Sitta: Bunge lijalo linatisha ,Asema limesheheni watu makini
“Bungelijalo ninavyoliona mimi, litakuwa Bunge la kutisha, maana lina vijana na watumachachari, ukisoma majina yao utaona kabisa kwamba ni watu makini na nitishio, hivyo natamani kuwa spika wa Bunge hilo ili nikabiliane na changamotozitakazojitokeza,”

 
Sitta: Bunge lijalo linatisha ,Asema limesheheni watu makini
"Bungelijalo ninavyoliona mimi, litakuwa Bunge la kutisha, maana lina vijana na watumachachari, ukisoma majina yao utaona kabisa kwamba ni watu makini na nitishio, hivyo natamani kuwa spika wa Bunge hilo ili nikabiliane na changamotozitakazojitokeza,"

Duh kumbe mzee 6 alitamani kufika nchi ya asali na maziwa lakini akaishia milima ya mizeituni!
 
Ila sita noma aisee.... Mawaziri ambao walishindwa kujibu majibu sawasawa aliwakomalia. Hata juzi naona aliingilia kati ili jibu la Zitto litolewe majibu yanayoridhisha
 
Ndoto ya Urais kaachana nayo mbona tunamrudisha tena kwenye uspika?
 
of ol th magamba t list huyu huwa anaakili.

Akili sawa anazo tena ana uwezo mkubwa wa kuongoza bunge lakini sidhani kama watanzania walitendewa haki kwa kuitetea serikali pale alipozima mjadala wa richmond.
 
Akili sawa anazo tena ana uwezo mkubwa wa kuongoza bunge lakini sidhani kama watanzania walitendewa haki kwa kuitetea serikali pale alipozima mjadala wa richmond.

sitta ni mnafiki sana...
 
Back
Top Bottom