Uchaguzi 2020 Ni mambo yapi unaiambia serikali ya CCM "we can't breathe" ili CCM iondoe goti katika shingo za Watanzania, ili yawe ajenda ya uchaguzi?

chiembe

JF-Expert Member
May 16, 2015
12,017
20,695
"I can't breath" ni kauli aliyoitoa George Floyd wakati askari mmoja huko marekani alipomkamata na askari huyo kuweka goti lake katika shingo ya George Floyd, jambo lililosababisha akose hewa kisha kufariki.

Naipa kauli hiyo muktadha wa kitanzania kisiasa.

Ni mambo gani ambayo yanafanya "tushindwe kupumua" kutokana na goti la CCM katika shingo zetu?

Demokrasia?
Bunge laivu?
Utawala wa sheria?

Au maendeleo yanaenda kwa kasi kubwa kiasi kwamba wapinzani hawawezi tena ku-breath katika ulingo wa siasa?
 
Au maendeleo yanaenda kwa kasi kubwa kiasi kwamba wapinzani hawawezi tena ku-breath katika ulingo wa siasa?


 
Back
Top Bottom