Ni jambo la kushangaza kuona magazeti mengi yakimzungumzia mama huyu kama mtu anaepewa nfasi kubwa ya kuukwaa uwaziri mkuu.Kiukweli mama huyu ukiwauliza watanzania walio wengi amewafanyia nini cha kukumbukwa;jibu litakuwa ni HAKUNA.Tabia hii ya kuwapigia watu upatu sio nzuri kwani wakati mwingine aweza teuliwa kwasababu hii.Aliteuliwa TIBAIJUKA hakuna anachofanya.