Ni mambo gani makuu ya moja kwa moja aliofanya Asha roz migiro yanayofanya afikiriwe kuwa PM?

eresa

Member
Apr 6, 2012
14
3
Ni jambo la kushangaza kuona magazeti mengi yakimzungumzia mama huyu kama mtu anaepewa nfasi kubwa ya kuukwaa uwaziri mkuu.Kiukweli mama huyu ukiwauliza watanzania walio wengi amewafanyia nini cha kukumbukwa;jibu litakuwa ni HAKUNA.Tabia hii ya kuwapigia watu upatu sio nzuri kwani wakati mwingine aweza teuliwa kwasababu hii.Aliteuliwa TIBAIJUKA hakuna anachofanya.
 
Labda utujuze UN walimpima kwa jambo gani kuwa naibu katibu mkuu. Then unaeza ukapata jawabu ya hilo unalouliza.
 
Labda utujuze UN walimpima kwa jambo gani kuwa naibu katibu mkuu. Then unaeza ukapata jawabu ya hilo unalouliza.

Un?? Hahahahaa waligoma kumpa second term, jiulize ww ni kwanini,kama una mkubali saaana huyo mama!
 
tabia hii sio tu kwamba huwa inatugharimu kama taifa kwa kuwapata vingozi wabovu bali pia hutanya wtz tuonekane watu tusiokuwa makini
 
cheap politics of tz,hata mm sipendi tabia hii ya chama tawala kuwatafutia umaarufu ili wawabebe lakini sifa hawana.refer to dhaifu
 
Waziri Mkuu huteuliwa kutika miongoni mwa WABUNGE WA KUCHAGULIWA kutoka katika majimbo ya uchaguzi! Sasa tuambiwe huyu mama Migi, anatoka jimbo gani analowakilisha la uchaguzi?
 
Ni jambo la kushangaza kuona magazeti mengi yakimzungumzia mama huyu kama mtu anaepewa nfasi kubwa ya kuukwaa uwaziri mkuu.Kiukweli mama huyu ukiwauliza watanzania walio wengi amewafanyia nini cha kukumbukwa;jibu litakuwa ni HAKUNA.Tabia hii ya kuwapigia watu upatu sio nzuri kwani wakati mwingine aweza teuliwa kwasababu hii.Aliteuliwa TIBAIJUKA hakuna anachofanya.

wanaompigia/anayempigia kampeni aje kuwa PM labda wana/anasababu zao/zake.my be aliwahi kuwa naniliyu wa mkubwa flani nchini.
 
Muwe mnachungulia jukwaa la siasa kidogo..mbona hii hoja inadadavuliwa kitambo tu kule..hata hivyo lazima tujenge tabia ya kupitia japo katiba yetu kidogo..huenda maswali kama hoja kama hizi zitapungua..
 
hilo gamba, sera ya ccm nibebe nikubebe na wewe siku za mbeleni, unashangaa nini, angalia kina nape, nchimbi, mwinyi,
 
Na akiteuliwa huyo mama kunauwezekano kile kipindi cha maswali ya papo kwa papo siku ya Alhamisi bungeni kikafutwa. Otherwise kwa kutumia psychology of aggressive lazima akina Mnyika,Kangi Lugola et al wamlize.
 
Anaandaliwa kuwa mgombea wa urais, imagine akiteuliwa pale bungeni itakuwaje anna+asha,
 
Kama ccm wamewapa the useless seven vyeo vya uwaziri na check bob mulugo kua naibu waziri. unaona ni kwa nini A.R. MIG asiwe waziri mkubwa. kwani tulienae amefanya nini. anafanya na atafanya nini.
 
Usishangae kuambiwa kuwa sasa ni zamu ya mwanamke! Hii ndiyo TZ hakuna kuhoji kuwa katiba gani inasema kuwa ni zamu ya spika imefika kuwa mwanamke.
 
wanawake uwaziri hawauwezi. majukumu yao ni kkk. kinder. kiche. kuche. yaano kulea watoto. kupika jikoni na wakitoka basi iwe kanisani tu.
Angalia mawaziri wa kike tulionao.
Ana T. hamna lolote. Ghasia anafanya ghasia kweli. Celina yule wa kazi nae. hata huyu munaemtaka ataboa tu. kwani hana masufuria ya kupikia kwake mpaka apewe upinda?
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom