Ni mambo gani makuu ya moja kwa moja aliofanya Asha roz migiro yanayofanya afikiriwe kuwa PM?

Kusema ukweli namkubali Asha Rose Migiro kuwa ni mpishi mzuri sana. hilo halina ubishi. zaidi ya hapo mnamtafutia lawama tu.
 
tabia hii sio tu kwamba huwa inatugharimu kama taifa kwa kuwapata vingozi wabovu bali pia hutanya wtz tuonekane watu tusiokuwa makini
Kweli. Tulikosa umakini 2005, na tukarudia upuuzi huo huo tena 2010. Na hii inatugharimu hadi 2015
 
waandishi vilaza huja na mawazo ya kijinga
gezeti walitafuta kuuza,inabidi huyo mhariri achunguzwe kama ana taaluma ya uandishi wa habari
Migiro ni mbunge wa kuteuliwa hawezi kuwa waziri mkuu kwa mujiu wa katiba yetu ya Tanganyika
labda kwa ubabe tu wavunje katiba...kwa magamba kila kitu kinawezekana..
Huyu mama ali underperfom UN kwa mujibu wa duru za kimataifa sasa atawezaje kuwa kiongozi??
 
Back
Top Bottom