The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 836
Mimi kwa uchunguzi wangu mdogo nilioufanya Makonda anaenda kupita mwisho pale bungeni atapewa uwazir wa aina yoyote kama sio uwaziri mkuu mana Majaaliwa kwa za ndani ameshatolewa kwenye mfumo msisahau MAKONDA ndio mtu aliepndeekeza Samia we mgombea mweza wa Magufuli 2015 kwaio mama anahisi bado ana deni kwa MAKONDA