TihZ
Senior Member
- Jul 31, 2012
- 158
- 26
Mapenzi siku hizi yamepoteza ladha kama sio uhalisia.
1.Mapenzi yanekuwa ya kifacebook mnapongezana kwa kulike na mnapongombana au mnawasiliana kwa kucomment.
2.Mkitakakuonana mnatumia picha whatsapp(zile picha kujiandaa) sasa mtajuana na kusomana lini.
3.Bahati nzuri ikatokea mmefikia kwenye ndoa mahali inatolewa kwa tigo pesa,m-pesa airtel money watu wanaenda ukweni kuoa shughuli imekwisha.
5.Baada ya kuishi mwezi tu unaanza kuona kuwa ulikosea mnatafutiana sababu za kikamati ndoa inavunjika talakainatumwa ukweni kwa njia ya message tu "Mtoto wenu simtaki tena".