Ni mahafali ya binti yangu

Hongera sana mamndenyi
Ombi langu kwako naomba nikuongeze mtoto mwingine inaonekana uko safi kwa kutunza watoto
Just one night pls??!
Ila tuache matani unastahili pongezi sana kwa hatua hiyo aliyofikia binti yako
 
I think ulikuwa unamaanisha Mahafari yanafanyika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji ( NIT) kilichopo mabibo na siyo Chuo cha Usafirishaji cha Ubungo.
 
Mimi ni mmoja wa wahitimu na mwanao karibu kwenye mahafari yetu j.mosi mama
 
Wooww jamaniii,.hongera mamii,hongera nyingi pia kwa binti,amekurudishia zawadi kubwa na nzuri,.amekupa faraja mnoo...niwatakie heri na furaha katika kusheherekea mahafali yake.
 


Yaani baba yake alimtupa pia na mtoto? Sitashangaa kumuona hiyo siku ya mnuso akiwa amejawa furaha huku akijisifia kuwa na mtoto mwenye akili na jinsi alivyomsomesha. Bibie Mamndenyi jiandae, nakuja na kukupa busu la mwaka 2018, unastahili pongezi ya kumbatio na live busu tu na si vinginevyo.
 
SHKAMOO MAMA.SAFI SANA HONGERENI.SEMA NAOMBA NIWASILIANE NA HUYO BINTI YAKO ILI NIMUOE CHAPCHAP KM AKIKUBAL LKN SINA PESA, WALA NYUMBA WALA AJIRA NINAHASO MTAANI TUU KWA SHUGHULI HALALI ZA HAPA NA PALE, NAMUOMBA MWANAO TUANZE WOTE MAISHA NA NAAMINI TUTAKUWA NA MAISHA MAZURI MBELENI MUNGU AKITUJALIA.AU UNAONAJE MAMAANG JAMAN ?
 
Wapendwa, kwa mapenzi mema kabisa nawakaribisha kwenye mahafali hayo 13/1/2018. Njoo hata tupate soda tu. Endapo utajaliwa kuja niambie ili nikupe simu namba.
Hako kabinti katukua size yangu kabisa.....na mimi nimemaliza chuo mwaka jana ujue
 
Hongera sana mkuu. Angalia isije ikawa wakwe zako wapo huku ila hamjuani binti kakua huyo.
 
Huyu mtoto naye ndoa yake iko hatiani maana ashajazwa upepo na mama.
Hivi vitu ni Kama binti kuzaa kabla ya kuolewa aafu atapata mtoto wa kike.
Na huyo mtoto atakuja kuleta mjukuu hapo hapo mpaka vizazi Vyote.
Kuna mambo wamama huwa wanayafanya lakini familia ndio zinaangamia hivyo.
Ndio Maana wamama wa miaka ile walikuwa wanaacha jamaa aoe kadili ya atakavyo kwake yeye uvungu anamnyima ili kujilinda
 
Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kukupigania na kukuongoza mpaka sasa mwanao anahitimu shahada yake ya kwanza.
 
Mamdenyi..! Mama mkwe naomba sasa nikabidhi mke wangu niondoke naye marekano mwezi wa nane..!

Asante mama mkwe kwa kuubeba huu mzigo wa kheri kwa kuutua salama...! Fanya haraka nimtafutie visa twende zetu kwa Trump...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…