Ni mafuta kiasi gani yanakuwa yamebakia pale fuel bar inapoanza kublink kwenye gari yako?

Mchemiaa

Senior Member
Jan 7, 2018
174
188
kwa mfano gari ya petrol ndogo cc 1300 - 1900 ikianza kblink inamaanisha nna litre ngap za petrol zimebakia?
kama kna mjuvi wa kukokotoa hapo tusaidiane
 
0.9% ya ujazo wa tank, kama unajaza full tank lita mia blinking ikaanza maana yake una lita 8-12
 
0.9% ya ujazo wa tank, kama unajaza full tank lita mia blinking ikaanza maana yake una lita 8-12
asante kwa ushaur je kuna warning nyingine ntaiona let say imebaki lita moja au knachofata ni gari kuzima tuu?
 
asante kwa ushaur je kuna warning nyingine ntaiona let say imebaki lita moja au knachofata ni gari kuzima tuu?
It’s likey gar itazima tu, the reason why inablink hiyo sign ni kwamba lile boya kule chini linakuwalimeshavukwa na mafuta,
 
Inategemeana ni gari ya aina gani?? Lakini gari nyingi za duniani/europe na amerikan car ziko powa sana zinakwambia kabisa mafuta yaliyopo na millage au km zakutumia..kama mafuta yaliyobakia yatakwenda km ngapi.
 
Dah, unataka warning nyingine tena zaidi ya taa? Ngoja ivute uchafu kwenye pump ndo kichwa kitakukaa sawa.
 
Kwa Toyota navyojua mimi inakuwaga na litres 4 za reserve baada ya taa kuwaka!
 
Nna Gx 110,mara kadhaa imewasha taa nikiwa safarini kwa uzoefu inatembea kama 80km hiv mbele na average consumption ni 10km per litre nikiwa highway,kwa maana hiyo kwa gar hii ni km litre 8 hivi zinakuwa zimebaki.
Nadhani ni kutegemeana na ujazo wa cylinder ila kwa gari ndogo za Toyota za 1.8cc na kushuka huwa ni kama litres 4.5 litres ulaya wanaita gallon 1! Hivyo kwa 6 cylinder nadhani ni kama litres 9 ambayo ni mara mbili yake!
 
Asante kwa elimu mkuu!
 
Back
Top Bottom