Swet-R
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 5,613
- 8,048
Hapo mimi na wewe tulishaachana kitambo na kichwa cha habari. Hapo tunazungumzia sana jinsi usivyojua kuwasirisha. Unaruka ruka. Mwanzo pale umesema kila nchi iko upande wa iran kasoro USA na Israel tu. Nikakukatalia. Ukaruka ukaja akili halafu ukachomekea Tanzania na Rwanda. Huku mwisho sasa umekuja na utumbo mwingine ambao mimi sijauzungumzia kabisa. Nilichokukatalia ni kitu kimoja tu ulichoongea pale mwanzo. Lakini ninachokiona kwako unapanick bila sababu. Utakufa pressure bure mkuu. Siku zote hakuna ataekubaliana na mawazo yako tudogo soma kichwa cha habari kinasema nini kabla ya kurupuka tu.
Sa hebu we tuambie mwenye akili madhara gani Irani tokea USA kuiweka IRGC kwenye black list yake kayapata?
Au IRGC anafanya biashara gani na babu yako USA au Taifa teule la vichaa. Mpaa awe anawasi wasi nao, wamuweke kwenye kundi la magaidi au wasimuweke amekula hasara gani? China,Urusi, na karibu nchi zote mbona wana wapokea hao macommandor wa IRGC na wanawaheshimu na wanafanya biashara nao kama kawaida.
Nipe we nchi ngapi zime waweka IRGC katika kundi la magiadi, nikusema akili mali unabisha. Ungekuwa unazo usingebisha.