Masamila
JF-Expert Member
- Jun 22, 2014
- 6,411
- 7,306
Ikija kutokea vita hii kama mrusi hataingilia basi ulimwengu wetu utasalimika, ila kutafunguka ukurasa mpya hapo mashariki ya kati. Nina uhakika Iran atapewa silaha na Mrusi wazitwange vizuri na hao NATO na kama itatokea hii vita na kutakuwa na umwagaji mkubwa sana wa damu hapo mashariki ya kati
Ni ama Iran itabaki au itaondoka, na kama itabaki itaenea vita kubwa sana Afrika ya kaskazini na uarabuni vita vikubwa sana sababu Iran ana kambi ya nchi za kiarabu zinazompa Support na Saudi Arabia pia ana kambi kubwa sana ya nchi za kiarabu na Ulimwengu wa kiislam nyuma yake