Ni mabomu tena mbagala?

Ni mabomu tena mbagala?

Campus

Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
34
Reaction score
10
Kuna hali ya sintofahamu kwa wakazi wa huku Mbagala. Milio inayoashiria mabomu inasikika watu tunataharuki.

wakati Wengine tunatafakari kukimbia kuna habari zinasema ni majambazi yamevamia banki. Wengne wanahisi mkutano wa dini uliokua eneo hilo ndo umeshambuliwa.
 
Labda geshi linafanya advataizi kama wakati ule wa gongolamboto na hukohuko mbagala
 
Mi nipo huku Charambe Majimatitu na nimeyasikia kama saba hivi. Ila kwa sasa pako kimya.
 
Ni Yale mabomu waliyokuwa wameyaandaa in case Obama angeshambuliwa....poleni bhana
 
Kuna hali ya sintofahamu kwa wakazi wa huku Mbagala. Milio inayoashiria mabomu inasikika watu tunataharuki.

wakati Wengine tunatafakari kukimbia kuna habari zinasema ni majambazi yamevamia banki. Wengne wanahisi mkutano wa dini uliokua eneo hilo ndo umeshambuliwa.

Wanatuma ujumbe kwa Obama kuwa wapo fiti kiuwezo na ki hali m23 wataisha tu kule kongo
 
milipuko imeacha na umeme umerudi. we have no idea wat it was.
 
Mbagala ipi hiyo....maana mi nipo karibu na kambi na sijasikia kitu kama hicho.
 
Mbagala rangi3 nahisi maana mleta mada bado anakimbia mabomu.
 
Hiyo ni milio ya risasi au mabomu ya machozi. Mabomu husikika mbali wa hadi kilomita 8 toka eneo la tukio. Mizinga ya heshima yaani gun salute ni kama kilomita 3. Mjini hawajasikia labda yawe ni ya machozi polisi hutumui kupambana na wezi wakati mwingine.
 
habar wanajamvi
wakazi wa mbagala na vitongoji vyake wasikia milipuko inayodhaniwa kuwa ni ya mabomu
KULIKONI? au ndio OBAMA?
 
Mzee wa taarifa za kiintelijensia hajazinasa???? si ajabu akaibuka na kusema wamekamata Majambazi yakiwa na silaa kali za kivita zaidi ya mia...pasipo kuuonyesha umma sura za hao majambazi.
 
Ni Mbagala R3, inasemekana ilikuwa wezi wakawa wanalipua baruti, vishindo tumevisikia hadi huku Charambe sidhani kuna polisi aliyesogea.
 
Ni Mbagala R3, inasemekana ilikuwa wezi wakawa wanalipua baruti, vishindo tumevisikia hadi huku Charambe sidhani kuna polisi aliyesogea.

Polisi huwa wanasogelea kwenye mikutano ya hadhara na kupiga watu wasiokuwa na silaha tu... Wakishasikia vshindo hawasogei... Ucniulize ndivyo walivyofundishwa CCP
 
Kuna hali ya sintofahamu kwa wakazi wa huku Mbagala. Milio inayoashiria mabomu inasikika watu tunataharuki.

wakati Wengine tunatafakari kukimbia kuna habari zinasema ni majambazi yamevamia banki. Wengne wanahisi mkutano wa dini uliokua eneo hilo ndo umeshambuliwa.

Mabomu ya kurusha kwa mkono kutoka china? Pigweni tu kwani tumechoka
 
Mkuu relax, fuatilia kisha utupe habari vizuri. Hii ya mara ni majambazi mara ni mkutano wa dini inatuweka roho juu. Kumbuka tumeshaumwa na nyoka Arusha hivyo Watanzania bado tunatafakari!!!!. Sawaeee.
 
ni magurudum ya roli yamepasuka pale rang3 kwa mziba pancha watu ooh mabomu tulieni
 
Back
Top Bottom