Mabinti zangu watatu wanasoma sekondari, form1 form3 na form4. Siishi dar, nakaa shamba sehemu remote sana. Nilicholeta hapa ni thread ya kawaida na si tangazo ndugu Excelmkuu, samahani lakini,
mabinti zako wana umri gani kwa sasa?.. unaishi dar es salaam sehemu gani aisee?
naweza kuhamia karibu na nyumbani kwako kwa msaada zaidi?...
sorry lakini eenh!..
mkuu, samahani lakini,
mabinti zako wana umri gani kwa sasa?.. unaishi dar es salaam sehemu gani aisee?
naweza kuhamia karibu na nyumbani kwako kwa msaada zaidi?...
sorry lakini eenh!..
waonaje nije kukusaidia badala ya hao mabinti?
Mabinti zangu watatu wanasoma sekondari, form1 form3 na form4. Siishi dar, nakaa shamba sehemu remote sana. Nilicholeta hapa ni thread ya kawaida na si tangazo ndugu Excel
jaa pm tubonge mama.. Sina mzaha linapokuja kwenye suala la papuchi! Lols!
Fasta kuja unisaidie huku..
Anza kuingia wewe kwanza
Halo SaaMbovu,hiyo mada ya adolescence stage ntaipata wapi? Inatoa mbinu za kuwazuia mabinti kuoga mara nne kwa siku?Mkuu SHIEKA naomba usome mada ya ADOLESCENCE STAGE huwezi shangaa hayo yanayotokea.
Jaribu kusearch hata mtandaoni utajua tu. Nilitegemea hao wanao watakuwa bado O level na ni kweli kumbe.
Kw kifupi During adolescence, teens often struggle with their body changes, mood swings and social issues.
Ni kawaida sana hiyo.
hahahaaaa!!! mamii una sauti ya aibu eenh!
naona hata kajicho unanipiga kwa aibu sana..! haya nakuja pm kwa vx v8! full mafuta..