Hahahahahahaaaaaaa. Hapo mmeeleweka. Siku hiyo wanaume wa Kazi watakuwa na zana zote halali. subirini mkufilie mbali wakati huyo anayewahamasisha ananyonya koni huko majuuTunataka kuandamana ili kufanya mapinduzi. Unaonaje hiyo imekaa vizuri?
Acha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Sijamtisha mtu bali nimeeleza uhalisia. Fanyeni hayo mapinduzi dhen muone cha mtema kuniAcha kutisha watu mkuu na wala usijisahau kuwa na wewe ulizaliwa kama sisi tulivyozaliwa,ndio maana sote hatujui kwa nn tumezaliwa na kuwa watanzania ama wao wamezaliwa kuwa waarabu ama wazungu.tumejikuta tu tupo tena baada ya makuuzi ya kiakili na kifikra.ikitokea mtu ana madhara na ukuaji wafikra zako ama "anazikengeuza"akili zako,wewe kama lizaboni unafanya nn!!!?haya ya "kupeperushana"mihemko yanaanzia kwa "jua"kisha "mwezi" unaakisi.jua likigoma na mwezi nao utagoma na si dhani kama na nyota nazo "zitawaka"la hasha.mkuu kuna muda watawala wanatembea kwa miguu lakini wanaangalia juu kisha wakijikwaa hawasemi kama wanaangalia juu tyu bali hutafutwa kijiwe kilicho waangusha."kimya kingi kina mshindo.......lakini mtakuja sema mshindo una kimya kingi"
Mna jeshi kuzidi lile la Tunisia na Libya?Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yaoNdiyo shida ya ccm, watakwambia hilo ni jambo dogo haliwasumbui lakini they will lose their shit every second.
Mara huyu alete list ya watu hatari.
Wengine ndiyo mpo humu kuanzisha nyuzi kila siku.
Relax wazee
Wadau, amani iwe kwenu.
Nimefuatilia baadhi ya mitandao ya kijamii hususan Instagram na Telegram kuhusu haya makundi ya watu wanaotamani kuuangusha utawala wa Rais Magufuli. Kwa kiswahili wanasema kuwa hayo ni maandamano ya Amani. Ila kwa Kiingereza wanatamka Tanzania Revolution.
Kwa uelewa wangu, Maandamano tafsiri yake kwa Kiingereza ni Demonstration au Protests. Na Revolution maana yake kwa kiswahili ni Mapinduzi. Kwa uelewa wangu finyu, busara huweza kutumika katika kudeal na maandamano ikiwa ni pamoja na matumizi kiduchu ya nguvu. Ila Mapinduzi hapo lazima ujidhatiti kukabiliana nayo. Hapo silaha za moto na nzito hutumika na ni haki ya vyombo vya dola kutumia nguvu zote ili kulinda himaya dhidi ya maadui wa ndani na nje.
Kingine, Maandamano hudhibitiwa na Jeshi la Polisi. Ila Mapinduzi hapo wanaume wa kazi, JWTZ huingia mzigoni. Hapo silaha zinazotumika ni za moto tu. Hawajafundishwa kutumia TEAR GAS hao.
Kwa hiyo, ni vema wale wanaotamani kuona utawala wa Rais Magufuli unaangushwa wakatafakari upya ni nini hasa wanataka kufanya siku hiyo na nini madhara yake. Ni vema wakaweka wazi je wanataka kuandamana ama wanataka kufanya mapinduzi? Maandamano YES ila MAPINDUZI ni BIG NO. Watu wasije kufumuliwa vichwa wakifanya mapinduzi then wakaanza kulalamika kuwa jeshi la polisi na JWTZ wametumia nguvu ya ziada.
Gadafi alitisha hivyo hivyo mwisho wa siku alifia kwenye mtaroHahahahahahahaaaaaa. Nawaangalia tu mnavyojiburudisha kwa mikono yenu. Cha Mtema Kuni chaja
Ok kwahiyo nyinyi mnaoleta hizi nyuzi ni jwtz? Wao wapo kimya aliyeongea mpaka sasa ni Siro na sisiemu.Hapo si CCM tena. Hapo ni wazee wa kazi. JWTZ. Tena ni kitambo hawajatest mitambo yao