Ni lugha gani ya kimataifa ina soko

Ni lugha gani ya kimataifa ina soko

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,256
Reaction score
3,892
Wadau nataka kujifunza lugha ya kimataifa ambayo inaweza kunisaidia kupata ajira ndani au njee ya nchi mfano kama mwalimu,language translator,.....

Ukitoaa lugha ya kiingereza ivi kufahamahu lugha ipi.....labda mfano kama kichina,kijerumani, kijichina,kifarancaa,kirusiii
 
ukijifunza kichina na ukubali kukaa kijijjini nakulipa laki 5 na elfu 80 bila tatizo.
 
Soma kiarabu we we ndio lugha ya dunia na akhera.kwani huko watu wataongea kiarabu km hujui ni kipigo tu .itakusaidia duniani na akhera
 
Spanish ni kirahisi sana.

Lugha ya dunia ni kingereza hakina mjadala
 
Wadau nataka kujifunza lugha ya kimataifa ambayo inaweza kunisaidia kupata ajira ndani au njee ya nchi mfano kama mwalimu,language translator,.....

Ukitoaa lugha ya kiingereza ivi kufahamahu lugha ipi.....labda mfano kama kichina,kijerumani, kijichina,kifarancaa,kirusiii

lugha ya alama ya viziwi ukiiweza hulali njaa
 
Soma kiarabu we we ndio lugha ya dunia na akhera.kwani huko watu wataongea kiarabu km hujui ni kipigo tu .itakusaidia duniani na akhera

ha ha ha ha ha ha
mudy umewaharibu hawa wa vipedo
 
Mimi naona kifaransa ila kilatini na kispanish nirahisi sana...
Kispanish hata kwagoogle tu unaweza ukakijua
 
Wadau nataka kujifunza lugha ya kimataifa ambayo inaweza kunisaidia kupata ajira ndani au njee ya nchi mfano kama mwalimu,language translator,..... Ukitoaa lugha ya kiingereza ivi kufahamahu lugha ipi.....labda mfano kama kichina,kijerumani, kijichina,kifarancaa,kirusiii
kwa vile umesema liingereza tayari unacho basi jifunze kichina.
 
French & spanish,jaribu hata kupitia kazi zinazotolewa na mashirika ya UN utaona wanahtj lugha hzo
 
Back
Top Bottom