CBA ni competence based assessment. Hii wanatumia VETA. Wanafundisha kwa kutumia CBET yaani competence based education training, halafu ukija kwenye kukupima uelewa yaani monogamous, majaribio n.k ndo wanatumia CBA. Mitihani yao inashabihiana na ya trade test ambayo walikuwa wanaenda kwa grades yaani, grade 3 mpaka grade 1.Kirefu chake CBA
Kitu cha kwanza nenda kaulizie uliposoma kama majibu hayajakukidhi basi nenda kwenye kanda (zone) yako.Nahitaji kujuzwa lini vinatoka vyeti vya cba 2015...veta