Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Ni lini usaili wa TRA 2019 utafanyika?

Jumamosi ya kesho, usisahau vyeti vyako original. Hapa chuo cha mwalim nyerere
 
Hivi kwa Nini kazi za TRA watu huwa wanatuma maombi wengi Sana, ngoja uone hizi majina yakitoka shortlist itakuwa na watu elfu60+,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom