gimmy's
JF-Expert Member
- Sep 22, 2011
- 3,305
- 3,327
Chalinze Dar ni wastani wa 109km pekee lakini kwa sasa kutokana na msongamano barabarani inakuchukua takribani masaa manne kusafiri kutoka Dar-Chalinze.
Serikali ilitoa taarifa kwamba inampango wakujenga barabara ya njia Sita ili kuokoa muda ambayo mpaka sasa haijawa wazi barabara hii itaanza kujengwa lini walau kuindoa hii adha.
Naamini Jf ni jukwaa lenye watu wa kila aina ya kada na naamini si mimi tu mwenye kuhitaji kufaham lini ujenzi huu utaanza