Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,432
- 2,629
aman iwe juu yenu wakuu, mataifa makubwa duniani yenye uchumi imara viomgozi wao wa nchi hususan marais hulipa kodi mishahara hukwata kodi kama wafanyakazi wengine hivyo kwa rais kusisitiz wananch kulipa ni rahisi kuelewa na kulipa kodi kwa sababu rais mwenyew analipa kodi,turudi hapa tz rais halipi kodi kila kitu anafanyiwa bure...kama mshahara mfanyakaz wa kawaid hukatwa makato makubwa ya kodi..kwa nn mshahara wa rais usikatwe kodi...je unawezaje kuwa kinara wa kuhamasisha wananch walipe kodi wakati ww ndie kinara mkuu wa ukwepaji kodi?? na hata kama ni sheria hazimruhus kulipa kodi kwa nn sheria hizo zisifanyiwe amendment?? ..rais maguduli unajinasibu unatumbua majipu kumbe na ww ni jipu.. anza kulipa kodi sasa ili uonyeshe mfano