hata usubiri vipi hiyo siku haitafika.Pm anaelia bungeni unategemea nini?Wana jamii,
Jana niliona kwenye news Mh. Pinda (zamani Mtoto wa Mkulima) akitoa maagizo wakurugenzi wachululiwe hatua. Ni lini yeye kama PM atafanya action ya moja kwa moja bila kuishia kutoa maagizo ambayo hata moja halijawahi kutekelezwa? Maana mimi naona ama anawaogopa hao wakurugenzi, au hana ushahidi na kile anachosema.
Sasa kama yeye ndo top, anamwagiza nani?
Wana jamii,