yutu
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 1,547
- 723
Akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Mwanza aliewahi kuwa waziri mkuu msataafu Bw. Edward Lowassa alipatwa kuulizwa swali hili na mwanafunzi wa shule ya msingi
Mwanafunzi (swali)..........Hivi ni kwani serikali ya CCM imewarundikia watu wachache nafasi nyingi za uongozi wakati nchi hii ina waasomi kwenye taaluma mbalimbali wako tu hawana kazi?
Mheshimiwa Waziri Mkuu (Jibu)..............Nipe mfano wa swali lako.
Mwanafunzi..(ufafanuzi)............Huyo Mkuu wa Mkoa ana nyadhifa nyingi sana.
Mheshimiwa Waziri Mkuu (swali).......Nyadhifa zipi?
Mwanafunzi.(ufafanuzi)...yeye ni mbunge, mkuu wa mkoa, mjumbe wa halmashauri kuu ya CCM, diwani
Mheshimiwa Lowasa alijikuna kichwa na kuweweseka na aka-ahidi (jibu).........Ninaomba muda wa kulitafutia jibu swali lako ambalo ni la kimsingi sana.
Mwanafunzi...........Ninashukuru.
so ni wakati wenu huu wanachadema kumpatia jibu huyo mwanafunzi