Ni lini Dunia itashitukia ugaidi wa wamarekani?

Ni lini Dunia itashitukia ugaidi wa wamarekani?

Katika maisha haya lazima kuwe na mbabe kwenye kila sehemu. Marekani ndio mbabe wa dunia so ughaidi wake hauwezi kuonekana na bara la kimasikini kama sisi coz hatumpingi kwa chochote
 
kamili

Ni kweli ndugu yangu. Hawa jamaa ni wepesi kudanganywa. Ndo maana tunajaribu kuweka wazi ili watu wote wajue picha halisi.
Sasa Marekani na washirika wake wamelewa urahisi wanaoupata kwa waarabu, wakaingia choo cha kike wakataka kumwendesha Russia kama wanavyowaendesha waarabu. Sasa wamejikwaa kwenye kisiki kikubwa balaa.

Tatizo ni uislam. Tafakarini kwa umakini, mmarekani anakuwa na maslahi yake ndio lakini kwa wale ambao ni weak, kundi kubwa la watu weak ni waarabu na sababu ni itikadi za ukatili amabzo zinachangiwa na imani yao ya dini, wanafanya ukatili huo iwe kwa waislam wenzao ama wasio waislam maadam wanatofautiana itikadi mfano washia na wasunni, vinginevyo usiniambie kuwa waarabu hao hawajasoma kiasi hicho kutotambua njama au hila za marekani. They don't think oputside box,only moved by extremism.
 
Napinga asilimia zote....unaposema tatizo ni uislamu ni general conclution kuwa kila muslim land kuna vita right?

okay twende kwa FACTS na historia...hizi vita mashariki ya kati kama Yemen, Somalia,Iraq,Afghanistan, Syria, Lebanon na sasa Libya nchi hizi zimekuwa na amani na mshikamano mpaka UDENDA wa kibepari ulipongia na "kuwagawa ili iwatawale" leo hii huwezi kuitawala middle east bila kuwa eneo lile liko na Crisis ili uunge mkono kundi moja wamalizane na kundi lingine...then wanachukua wanachochukua...Kwisha

kuna List ndeefu ya nchi za kiislamu watu wanaishi fresh tu na amani ya kutosha Bahrain,UAE,morroco,Jordan,azbekstan,Saudi Arabia, Kuwait, Oman, Indonesi, Malysia na hata Brunei na mauritania, Algeria na Tunisia na hata Zanzibar...so point yako ni VOID haina ukweli

Ukitizama hao Al qaeda ni na Taliban ni USA aliyekuwa akiwasapot wamtoe Russia kwenye uvamizi wake wa Afganistan miaka ya 1980..nani hasiyejua Osama binm Laden ailkuwa spy wa America

ISIS wakati ule mwaka 2011 mpaka 2014 wakijiita ISIL (Islamic state and Levant) walikuwa ni waasi wa nchini Syria wakiwa chini ya mafunzo ya NATO, na mataifa ya nje kumtoa BASHAR ASSAD kule Syria...mission imefeli hilo monster walilotengeneza limewageuka tena....

report za uhakika kabisa ziko AMERICA walikuwa behind kwa kutengeneza kundi la ISIS sasa"wamekosa adabu wamewageuka kama Taliban na Al qaeda walivyofanya....

Wakati NATO wakimpiga mabomu Muammar ghadafi wakiwa na waasi wa BENGHAZI hukusikia? nchi ilikuwa na vita ile?

leo wamegeukana na USA na Britain wakemuwa wa kwanza kufunga mabarozi na kuacha kitimtim nyuma...usisahau kuwa wanaiba mafuta ya kutosha...

iwapo MIDDLE EAST kusingekuwa na Mafuta husingesikia haya yote mavita sijui nini.......

SCAPEGOAT ya mataifa ya AMERICA na Baadhi ya washirika wake juu ya Lawama ya ku destabilize amani mashariki ya kati huutupia UISLAMU...na hii propaganda anaimeza yoyote hasiyejua historia vizuri na siasa za dunia au anajitoa akili
 
Napinga asilimia
zote....unaposema tatizo ni uislamu ni general conclution kuwa kila
muslim land kuna vita right?

okay twende kwa FACTS na historia...hizi vita mashariki ya kati kama
Yemen, Somalia,Iraq,Afghanistan, Syria, Lebanon na sasa Libya nchi hizi
zimekuwa na amani na mshikamano mpaka UDENDA wa kibepari ulipongia na
"kuwagawa ili iwatawale" leo hii huwezi kuitawala middle east bila kuwa
eneo lile liko na Crisis ili uunge mkono kundi moja wamalizane na kundi
lingine...then wanachukua wanachochukua...Kwisha

kuna List ndeefu ya nchi za kiislamu watu wanaishi fresh tu na amani ya
kutosha Bahrain,UAE,morroco,Jordan,azbekstan,Saudi Arabia, Kuwait, Oman,
Indonesi, Malysia na hata Brunei na mauritania, Algeria na Tunisia na
hata Zanzibar...so point yako ni VOID haina ukweli

Ukitizama hao Al qaeda ni na Taliban ni USA aliyekuwa akiwasapot wamtoe
Russia kwenye uvamizi wake wa Afganistan miaka ya 1980..nani hasiyejua
Osama binm Laden ailkuwa spy wa America

ISIS wakati ule mwaka 2011 mpaka 2014 wakijiita ISIL (Islamic state and
Levant) walikuwa ni waasi wa nchini Syria wakiwa chini ya mafunzo ya
NATO, na mataifa ya nje kumtoa BASHAR ASSAD kule Syria...mission imefeli
hilo monster walilotengeneza limewageuka tena....

report za uhakika kabisa ziko AMERICA walikuwa behind kwa kutengeneza
kundi la ISIS sasa"wamekosa adabu wamewageuka kama Taliban na Al qaeda
walivyofanya....

Wakati NATO wakimpiga mabomu Muammar ghadafi wakiwa na waasi wa BENGHAZI
hukusikia? nchi ilikuwa na vita ile?

leo wamegeukana na USA na Britain wakemuwa wa kwanza kufunga mabarozi na
kuacha kitimtim nyuma...usisahau kuwa wanaiba mafuta ya kutosha...

iwapo MIDDLE EAST kusingekuwa na Mafuta husingesikia haya yote mavita
sijui nini.......

SCAPEGOAT ya mataifa ya AMERICA na Baadhi ya washirika wake juu ya
Lawama ya ku destabilize amani mashariki ya kati huutupia UISLAMU...na
hii propaganda anaimeza yoyote hasiyejua historia vizuri na siasa za
dunia au anajitoa akili

chukua like mkuu umemaliza kila kitu
 
Napinga asilimia zote....unaposema tatizo ni uislamu ni general conclution kuwa kila muslim land kuna vita right?

okay twende kwa FACTS na historia...hizi vita mashariki ya kati kama Yemen, Somalia,Iraq,Afghanistan, Syria, Lebanon na sasa Libya nchi hizi zimekuwa na amani na mshikamano mpaka UDENDA wa kibepari ulipongia na "kuwagawa ili iwatawale" leo hii huwezi kuitawala middle east bila kuwa eneo lile liko na Crisis ili uunge mkono kundi moja wamalizane na kundi lingine...then wanachukua wanachochukua...Kwisha

kuna List ndeefu ya nchi za kiislamu watu wanaishi fresh tu na amani ya kutosha Bahrain,UAE,morroco,Jordan,azbekstan,Saudi Arabia, Kuwait, Oman, Indonesi, Malysia na hata Brunei na mauritania, Algeria na Tunisia na hata Zanzibar...so point yako ni VOID haina ukweli

Ukitizama hao Al qaeda ni na Taliban ni USA aliyekuwa akiwasapot wamtoe Russia kwenye uvamizi wake wa Afganistan miaka ya 1980..nani hasiyejua Osama binm Laden ailkuwa spy wa America

ISIS wakati ule mwaka 2011 mpaka 2014 wakijiita ISIL (Islamic state and Levant) walikuwa ni waasi wa nchini Syria wakiwa chini ya mafunzo ya NATO, na mataifa ya nje kumtoa BASHAR ASSAD kule Syria...mission imefeli hilo monster walilotengeneza limewageuka tena....

report za uhakika kabisa ziko AMERICA walikuwa behind kwa kutengeneza kundi la ISIS sasa"wamekosa adabu wamewageuka kama Taliban na Al qaeda walivyofanya....

Wakati NATO wakimpiga mabomu Muammar ghadafi wakiwa na waasi wa BENGHAZI hukusikia? nchi ilikuwa na vita ile?

leo wamegeukana na USA na Britain wakemuwa wa kwanza kufunga mabarozi na kuacha kitimtim nyuma...usisahau kuwa wanaiba mafuta ya kutosha...

iwapo MIDDLE EAST kusingekuwa na Mafuta husingesikia haya yote mavita sijui nini.......

SCAPEGOAT ya mataifa ya AMERICA na Baadhi ya washirika wake juu ya Lawama ya ku destabilize amani mashariki ya kati huutupia UISLAMU...na hii propaganda anaimeza yoyote hasiyejua historia vizuri na siasa za dunia au anajitoa akili

Uislam wa itikadi kali kwa sasa ni gumzo la kimataifa, uingereza, marekani wanajadili ni jinsi gani watadhibiti raia wao ambao wanakwenda kwenye nchi zenye vita kujiunga na waasi au ISIS,. Point yangu ina hold water kwa sababu gani pamoja na maslahi ya wamarekani kama walivyo na maslahi kwenye nchi nyingine lakini uislam wa itikadi kali ndio njia kwani hawatafakari mara mbili wao wanatanguliza uextremism wanaopigana nao ni ndugu zao, sasa suala la magaidi kusoma marekani au israel is immaterial kwa sababu mbwa wako unaweza kumpa nyama lakini ukitaka kumnyang'anya anaweza kukung'ata ndio walivyo waarabu!!!, ndio maana nakwambia hivi isingekuwa uitikadi kali hao wangepingana bila kuuana wala bila kutaka kuanzisha dola za kiislam. Nchi ulizo taja mfano afganstan ndio hawataki kabisa hata watoto wa kike kwenda shule, unabisha nini wewe
 
sasa miaka ya karibuni si ndio haya mambo yamekithiri...na si ndio miaka ya karibuni nchi hizo yanakotokea zimevamiwa na kuingia kwenye CIVIL wars...so kama kuna mahali kwingi tu hakuna hayo mambo unayosema tatizo liko pale pale kwanini mnawavamia?
 
Labda ikirudi ile USSR Isaidie kubalance nguvu ya Dunia, mchina ni mjinga ana nguvu na hela anayo lakini hana msaada wa maana kumzuia US..na kule Urusi baada ya Putin hatujui kama atatokea kamanda mwingne wa kuwekeana ubavu na hawa nyangau US...hili ni suala la mda mrefu maana hawa jamaa wamejiimarisha muda mrefu sana
 
ukitoa saud ambao wanaongoza kwa kununua silaha marekani hapa duniani,nchi inayofuata ni Qatar.

Qatar ni ndogo sana,inazidiwa kidogo na gaza,lakini ina mambo makubwa sana.

Marekani ilimtorosha jela Charles Taylor ikamkabidhi silaha akafanye mapinduz nchini kwake liberia kilichotokea wote tulishuhudia ni mauaji ya kutisha kuanzia liberia mpk sierra leone watu zaidi ya million 1 walipoteza maisha
https://www.facebook.com/video.php?v=1521490148086581&set=vb.100006768307948&type=2&theater
 
*Warning Graphic* Grunt Stuff- Missile vs face
*Warning Graphic* Grunt Stuff- Missile vs face

Missile literally hits right on top of these dudes....close up footage. Missile probably hits 100ft from camera man. Guy that gets hit looks up at it right before it slams into his face, his friends tried to bounce, I don't think they made it.

Footage came from Syria...----'em
Check out our store www.gruntstuff.com
~garnDOG

https://www.facebook.com/video.php?v=755654751167389&set=vb.640321259367406&type=2&theater
 
Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani naBiblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha 26 wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

KUIPAMBA BIBLIA NA KUABUDU MTOTO WA HARAMU ??
 
nuclear1.jpg

The Russian Aggression Prevention Act", introduced to Congress by U.S. Senator Bob Corker (R-Tenn.), will set the US on a path towards direct military conflict with Russia in Ukraine.
Any US-Russian war is likely to quickly escalate into a nuclear war, since neither the US nor Russia would be willing to admit defeat, both have many thousands of nuclear weapons ready for instant use, and both rely upon Counterforce military doctrine that tasks their military, in the event of war, to preemptively destroy the nuclear forces of the enemy.
RAPA provides de facto NATO membership for Ukraine, Georgia, and Moldova via RAPA
The Russian Aggression Prevention Act, or RAPA, "Provides major non-NATO ally status for Ukraine, Georgia, and Moldova for purposes of the transfer or possible transfer of defense articles or defense services." Major non-NATO ally status would for practical purposes give NATO membership to these nations, as it would allow the US to move large amounts of military equipment and forces to them without the need for approval of other NATO member states. Thus RAPA would effectively bypass long-standing German opposition to the US request to make Ukraine and Georgia part of NATO.

READ MORE >>>>"The Russian Aggression Prevention Act" (RAPA): A Direct Path to Nuclear War with Russia | Global Research
 
Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

KUIPAMBA BIBLIA NA KUABUDU MTOTO WA HARAMU ??

You may learn from your cousins hereunder:

[h=1]"Leave us alone. I know people who can put a bomb on you," says Boston Marathon Bombers' sister, who apparently is a Muslim terrorist, too[/h]

[h=1]JUNIOR JIHADI of ISIS parades around with the decapitated head of victim (WARNING: Graphic)[/h]
 
Habari inayolindima sasa hivi ni hili suala la wapiganaji wa Iraq wajulikanao kama ISIL. Ukiangalia historia ya ISIL utaona kwamba kama wamarekani wasingevamia Iraq 2003, ISIL isingekuwa kama ilivyo sasa hivi. Hebu tuangalie wamerakani wamesababisha vikundi vingapi vya ugaidi duniani.

1) Hamas- Miaka ile kulikuwa na machafuko kati ya Hamas na Fatah, wakati huo Hamas kilikuwa chama kidogo tu lakini Marekani ilisupport Hamas kwa kuipa silaha, mwisho wake sasa Hamas ni chama kikubwa cha ‘kigaidi’ kwa mujibu wa wamarekani.
2) Inajulikana Alqaeda ilipata misaada lukuku kutoka marekani wakati wanapikana na warusi.
3) Wamarekani waliua viongozi wengi sana wa kikabila huko Somalia, hii ilisababisha vacuum ambayo iliupa mwanya alshabab kuchukua nchi.

Marekani ikiingilia mapigano nchi za nje inafanya mambo yawe mabaya Zaidi. Mimi sioni sababu ya mmarekani kuingilia mapigano ya ISIL na kurds. Kwanini? Kwa sababu nina uhakika kama wairaq wakichoka utawala wa ISIL watawafukuza tu? Hata Iran ina uwezo wa kuwasambaratisha ISIL bila kutaja Saudi Arabia ambayo ina mamia ya ndege na vifaru kutoka marekani. Kwanini Marekani iliyopo mbali hivyo na Iraq iwe na mapenzi na watu wa Iraq kuliko wairaq au hata nchi za jirani?

Kuwapa siraha Kurds ni mchezo wa hatari sana kwa sababu hawa jamaa wataanza kuwaua wasunni, wasunni watataka kulipiza kisasi halafu mwishowe tutaona mauaji ya wenyewe kwa wenyewe yakiendelea tena.
Sababu ya Marekani kuingilia vita isiyoihusu ni nia yake ya kucontrol middle east, haitaki kuona nchi yoyote sehemu hii ya dunia kuwa na nguvu.

Mimi sio mwislamu, lakini kuna ubaya gani kama waislamu wakiamua kufuata sharia katika nchi zao ambazo ni 99 percent Muslim? Kwa mfano Misri?
​
Wandugu, tabia za wamarekani na wamagharibi zinazua chuki za kidini ambazo hapo mbeleni zitasababisha vita vya kidini baina ya jamii ambazo hazijawahi kuwa na mikwaruzano.
Mbona Misri yenyewe hata haiongozwi kwa sheria za Sharia za Kislamu?Ukienda Misri hata kelele za Speker za misikitini hamna. Misikiti yote haina Spika zile tulizozizoea huku kwetu zikitutia maudhi kila muda wa swala yao inapofika.
 
Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu. Lakini sisi hatukubaliani naBiblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia. Na kama Wakristo wanang'ang'ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

"Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha 26 wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

KUIPAMBA BIBLIA NA KUABUDU MTOTO WA HARAMU ??
Usidandie gari kwa mbele. Biblia siyo kama kitabu chenu kile cha Satan verses. Ndo maana hata katika kile kitabu chenu mnasema eti Mariam (mama wa Yesu) ni dadake na Haruni wakati Yesu alikuja kuzaliwa miaka karibu Elfu 2000 baada yaMusa na Haruni.
Kwa msaada wako, Rahabu wa kitabu cha Joshua na Rahabu wa enzi ya Suleman ni watu wawili tofauti maana Sulemani alikuja miaka mingi sana baada ya Joshua. Na pia Tamari hakuwa Kahaba, bali mjane wa kijana wa Yuda na yule mtoto wa Uria siyoSulemani, bali Sulemani alikuja kuzaliwa baadaye. Usifiki Biblia nayo ni kitabu cha yule Baali/habal wenu (Allah). Bible is the Book of the God Almighy, that is Johovah, the God of Ibrahim. Bible has got the words of God, not like Qur an which contains the Satanic verses.
 
WAPI IMEANDIKWA BIBLIA NI KITABU CHA AKINA TsafuRD and CO.

UNATAKA TUFUATE INJILI YAKO BADALA YA MATAYO ?? NI wapi MATHAYO ALITOA MAELEZO HAYO UNAYOYATOA , WACHA KUMPAKAZIA MATHAYO PLEASE !!!!

One disturbing story found in the Bible is Judah and his daughter in law. The story is recorded in Genesis 38. Basically what happens is that Judah sleeps with her after thinking she has a harlot, the result is twins. What is more disturbing is that Jesus comes from the lineage of the twins, so basically the family line comes as a result of Judah sleeping with his daughter in law!

Here is the story

Genesis 38:

[SUP]1 [/SUP]And it came to pass at that time, that Judah went down from his brethren, and turned in to a certain Adullamite, whose name was Hirah. [SUP]2 [/SUP]And Judah saw there a daughter of a certain Canaanite, whose name was Shuah; and he took her, and went in unto her. [SUP]3 [/SUP]And she conceived, and bare a son; and he called his name Er. [SUP]4 [/SUP]And she conceived again, and bare a son; and she called his name Onan. [SUP]5 [/SUP]And she yet again conceived, and bare a son; and called his name Shelah: and he was at Chezib, when she bare him. [SUP]6 [/SUP]And Judah took a wife for Er his firstborn, whose name was Tamar. [SUP]7 [/SUP]And Er, Judah's firstborn, was wicked in the sight of the LORD; and the LORD slew him. [SUP]8 [/SUP]And Judah said unto Onan, Go in unto thy brother's wife, and marry her, and raise up seed to thy brother. [SUP]9 [/SUP]And Onan knew that the seed should not be his; and it came to pass, when he went in unto his brother's wife, that he spilled it on the ground, lest that he should give seed to his brother. [SUP]10 [/SUP]And the thing which he did displeased the LORD: wherefore he slew him also. [SUP]11 [/SUP]Then said Judah to Tamar his daughter in law, Remain a widow at thy father's house, till Shelah my son be grown: for he said, Lest peradventure he die also, as his brethren did. And Tamar went and dwelt in her father's house.

[SUP]12 [/SUP]And in process of time the daughter of Shuah Judah's wife died; and Judah was comforted, and went up unto his sheepshearers to Timnath, he and his friend Hirah the Adullamite.

[SUP]13 [/SUP]And it was told Tamar, saying, Behold thy father in law goeth up to Timnath to shear his sheep. [SUP]14 [/SUP]And she put her widow's garments off from her, and covered her with a vail, and wrapped herself, and sat in an open place, which is by the way to Timnath; for she saw that Shelah was grown, and she was not given unto him to wife.

[SUP]15 [/SUP]When Judah saw her, he thought her to be an harlot; because she had covered her face. [SUP]16 [/SUP]And he turned unto her by the way, and said, Go to, I pray thee, let me come in unto thee; (for he knew not that she was his daughter in law.) And she said, What wilt thou give me, that thou mayest come in unto me? [SUP]17 [/SUP]And he said, I will send thee a kid from the flock. And she said, Wilt thou give me a pledge, till thou send it? [SUP]

18
[/SUP]
And he said, What pledge shall I give thee? And she said, Thy signet, and thy bracelets, and thy staff that is in thine hand. And he gave it her, and came in unto her, and she conceived by him.

[SUP]19 [/SUP]And she arose, and went away, and laid by her vail from her, and put on the garments of her widowhood.

[SUP]20 [/SUP]And Judah sent the kid by the hand of his friend the Adullamite, to receive his pledge from the woman's hand: but he found her not. [SUP]21 [/SUP]Then he asked the men of that place, saying, Where is the harlot, that was openly by the way side? And they said, There was no harlot in this place. [SUP]22 [/SUP]And he returned to Judah, and said, I cannot find her; and also the men of the place said, that there was no harlot in this place. [SUP]23 [/SUP]And Judah said, Let her take it to her, lest we be shamed: behold, I sent this kid, and thou hast not found her.

[SUP]24 [/SUP]And it came to pass about three months after, that it was told Judah, saying, Tamar thy daughter in law hath played the harlot; and also, behold, she is with child by whoredom. And Judah said, Bring her forth, and let her be burnt. [SUP]

25
[/SUP]When she was brought forth, she sent to her father in law, saying, By the man, whose these are, am I with child: and she said, Discern, I pray thee, whose are these, the signet, and bracelets, and staff. [SUP]26 [/SUP]And Judah acknowledged them, and said, She hath been more righteous than I; because that I gave her not to Shelah my son. And he knew her again no more. [SUP]27 [/SUP]And it came to pass in the time of her travail, that, behold, twins were in her womb. [SUP]28 [/SUP]And it came to pass, when she travailed, that the one put out his hand: and the midwife took and bound upon his hand a scarlet thread, saying, This came out first.

[SUP]29 [/SUP]And it came to pass, as he drew back his hand, that, behold, his brother came out: and she said, How hast thou broken forth? this breach be upon thee: therefore his name was called Pharez.

[SUP]30 [/SUP]And afterward came out his brother, that had the scarlet thread upon his hand: and his name was called Zarah.

So there you go, Judah sleeps with his daughter in law after thinking she is a harlot, they have twins and she gets burned. What is disturbing about this is that Judah did not get punished but lady Tamar did. So basically Judah had sex outside marriage and got away with it, the lady got killed. This is clear double standards and shows that it is okay to have sex outside marriage for men in the Bible.

So I hope a Christian could explain this chapter, I also ask if they can teach this to their kids.

Now as I said, Jesus' lineage is a result of this. The names of the two kids who resulted out of this sexual encounter between Judah and Tamar were Pharez and Zarah.

Here is Jesus' lineage according to Matthew 1:

[SUP]1 [/SUP]The book of the generation of Jesus Christ, the son of David, the son of Abraham. [SUP]2 [/SUP]Abraham begat Isaac; and Isaac begat Jacob; and Jacob begat Judas and his brethren;

[SUP]3 [/SUP]And Judas begat Phares and Zara of Thamar; and Phares begat Esrom; and Esrom begat Aram; [SUP]4 [/SUP]And Aram begat Aminadab; and Aminadab begat Naasson; and Naasson begat Salmon;

[SUP]5 [/SUP]And Salmon begat Booz of Rachab; and Booz begat Obed of Ruth; and Obed begat Jesse;

[SUP]6 [/SUP]And Jesse begat David the king; and David the king begat Solomon of her that had been the wife of Urias; [SUP]7

[/SUP]And Solomon begat Roboam; and Roboam begat Abia; and Abia begat Asa;

[SUP]8 [/SUP]And Asa begat Josaphat; and Josaphat begat Joram; and Joram begat Ozias;

[SUP]9 [/SUP]And Ozias begat Joatham; and Joatham begat Achaz; and Achaz begat Ezekias; [SUP]

10
[/SUP]And Ezekias begat Manasses; and Manasses begat Amon; and Amon begat Josias; [SUP]11 [/SUP]And Josias begat Jechonias and his brethren, about the time they were carried away to Babylon:

[SUP]12 [/SUP]And after they were brought to Babylon, Jechonias begat Salathiel; and Salathiel begat Zorobabel; [SUP]13 [/SUP]And Zorobabel begat Abiud; and Abiud begat Eliakim; and Eliakim begat Azor;

[SUP]14 [/SUP]And Azor begat Sadoc; and Sadoc begat Achim; and Achim begat Eliud;

[SUP]15 [/SUP]And Eliud begat Eleazar; and Eleazar begat Matthan; and Matthan begat Jacob;

[SUP]16 [/SUP]And Jacob begat Joseph the husband of Mary, of whom was born Jesus, who is called Christ. [SUP]

17
[/SUP]So all the generations from Abraham to David are fourteen generations; and from David until the carrying away into Babylon are fourteen generations; and from the carrying away into Babylon unto Christ are fourteen generations.

So there you go, Jesus' lineage comes from the result of Judah sleeping with a lady who he thought was a harlot who was in fact his daughter in law!

I wonder how Christians will explain that their God's lineage is from a result of sex outside marriage between a man and his daughter law. There is no need for an explanation, this is pure rubbish, it is blasphemy to say such a thing about God.

God's lineage from father in law sleeping with daughter in law! This is indeed a lie, and people who believe this need serious help.

On a last note, I would like to say that most Christians don't even know about this event, you tell them about it they will say you are lying or that they never knew that.

This shows that some chapters in the Bible are intentionally not taught to Christians and are made quiet so people don't notice it.

Well the Muslims noticed it, and we will notice all the sick perverted chapters from the Bible and expose each one!

This concludes this article of Genesis 38, make sure you don't let your kids read this chapter.
 
mbona misri yenyewe hata haiongozwi kwa sheria za sharia za kislamu?ukienda misri hata kelele za speker za misikitini hamna. Misikiti yote haina spika zile tulizozizoea huku kwetu zikitutia maudhi kila muda wa swala yao inapofika.

umekunywa damu ya yesu chupa ngapi ???

Hata unachokiandika unakijua ??
 
Hii si parade ndogo ya kuabudia mwanaharamu asiyeingia kwenye ufalme wa mungu

unaabudu nani wewe kwa hali hii ??

Back
Top Bottom