Yeye kafanya kuinua vijana wengine kina Harmonize na wengineo ambao nao wanakundi la watu wengi wanaowategemea....Wamekulipa kiasi gani kuleta adv ya Naseeb hapa JF.Pale nitakapo ona msanii anajenga Hospitali kwa ajili ya kuwatibu wanyonge au kujenga Shule kwa ajili ya wanyonge kupatiwa elimu mzuri hapo nitampa maua na vilua na asmini more then that ni ujinga tu .
Yeye hana wajibu wa kuharibu jamii, mwenye wajibu wa kulea watoto katika maadili kwa asilimia kubwa ni wewe mzazi.... Vitu vinavyoharibu maadili ni vingi na sio mziki tu. Labda uje na hoja nyingine.hayo ni mambo madogo sana ukilinganisha na madhara ya yeye kuharibu maadili ya jamii anayofanya.
Kwani kuwainua maana yake nini... Kuwapa nafasi ndiko kuwainua, kumtoa mtu chini na kumpa platform ya kujulikana ni kumuinua... Tukizungumzia mziki wa biashara umeanzia kwa DiamondHajawainua usimpe sifa asizo stahil.
Alichofanya ni kuwapa mafas ya kuonyesha uwezo (wao) kama yeye alivyopewa nafas na Bob Junior.
Mwisho wa siku akautumia uwezo wa hao vijana kujinufaisha. So kwakifupi madogo walipewa platform ila wakawa wao ndio wanapambana kuingiza pesa ya kumlipa Diamond na kujilipa wenyewe
na kubwia sembehayo ni mambo madogo sana ukilinganisha na madhara ya yeye kuharibu maadili ya jamii anayofanya.
Na kuimba ujinga
diamond platinumz ni msanii international.Hakuna msanii international Tanzania.
Nimemaliza.
unachopaswa kutambua kila kizazi kina staili yake.hayo ni mambo madogo sana ukilinganisha na madhara ya yeye kuharibu maadili ya jamii anayofanya.
Na kuimba ujinga
diamond platnumz sio msanii international kwasababu;diamond platinumz ni msanii international.
Kutambulika katika scale ya global ni mosi,
Kuingia katika contest nafasi za kimataifa ni pili.
Kuwa na stream nyingi katika mitandao mikubwa kama itunes, spotfy n.k ni kigezo no tatu.
Kuwa msanii mwenye hit ndan na nje ya nchi yako nyingi ni kigezo.
Wacheni ujinga diamond kaaminisha vijana weng mziki sio uhun na mziki wa biashara kwa kiasi kikubwa kaja kuuweka kwenye ramani
niambie katika watu 500 wanaotoka congo, Tz, malawi, kenya, ethiopia ni wangapi wanamfatilia meghan thee stalion au drake au lil baby?diamond platnumz sio msanii international kwasababu;
mashabiki wake wengi hawatoki kwenye the biggest music consumers(US, UK, GE) yupo international hapa africa tu
na ndio maana akishindanishwa na wasanii international(kina burna, ckay, arya) hatoboi
kuhusu kuinua wasanii wadogo, karibia kila msanii kaanza kwa kujiegesha kwa mwingine
Jirani...ushawahi sikia sauti yangu nikiimba nikiwa bafuni?
Ndo ukweli, unadhani hizo academy awards kina burna boy wanachukua bure?Bado una matatizo ya kuamini wazungu ndio wasikilizaji na ndio wanaamua nani awe msanii international?
haya tumlinganishe na Tyla, chipukizi, lakini amekamata support ilipoNdo ukweli, unadhani hizo academy awards kina burna boy wanachukua bure?
Mashabiki wa marekani na ulaya ndo wana uwezekano mkubwa wa kustream, kusafiri kuona shows, kupigia kura nominations
Wasanii wengi wa nigeria ndo wapo global, hata wakifanya show huku africa kuna wazungu wanakuja kuona
Angalia mashabiki wake wengi wanapotoka, hata nyumbani mnamkataa
View attachment 2921209
Anaposikilizwa sana maredioni
View attachment 2921210