Ni lini chenge amekua msemaji wa serikali?


masharubu

masharubu

Senior Member
Joined
May 5, 2010
Messages
156
Likes
0
Points
33
masharubu

masharubu

Senior Member
Joined May 5, 2010
156 0 33
Wandugu nilishtushwa na maneno ya bwana chenge ya kwamba waingereza na serikali ya tanzania walishamaliza uchunguzi wao na yeye hausiki na swala la radar.

Na leo pccb imetoa tamko kwamba ni kweli chenge hausiki na tuhuma za rada, tuhuma nzito kama zile zilizopelekea kuachia ngazi uwaziri iweje mwisho wake watanzania tusielezwe ukweli tujue, au ndio funika kombe mwanaharamu apite?na chenge asinge sema pccb ilikua inangoja hadi lini watoe tamko kama walilotoa? Au ndio mambo ya home boy kwa home boy?
 

Forum statistics

Threads 1,237,189
Members 475,465
Posts 29,280,809