Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
imekuuuuma??? unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu
umeongea point
imekuuuuma??? unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu
Mapenzi ni kusaidiana na kuoneana huruma, 2naweza 2kamwaga povu huku jamvini wakati ha2jui wakiwa kitandani wanaongea nini.
Namjua mshkaji, mke wake ana mimba changa. Na mimba changa zinasumbua sana.
imekuuuuma unashangaza hayo ni mapenzi yao ww hayakuhusu
Zipo.kazi za kusaidiana lakn c hizo.kudeki kila cku na kufua nguo ndo uende kazi kwa miezi hapana mie
Umejuaje??
Hahaa mke mzma kabisa na mwanaume ndo jembe la kazi