Ni lazima umfikishe?

Ni lazima umfikishe?

Mm ni mwanamke najua ninachokiongelea. Mwanamke anaekupenda anaweza kukuvumilia kutomfikisha kuliko kuvumilia kukosa matumizi mengine. Endelea kubisha na kujidanganya ati hitaji kuu la mwanamke ni kufikishwa.

Unless kuchepuka iwe ni tabia yake.
Na kama humfikishi unajidai kumtimizia mahitaji tu yake nyie ndio mnawafanya wake zenu wawe wanatuhonga huku mitaani ili mradi tu huwa unampa dozi tamu inayomfikisha mpaka sebuleni.Na hii ndio password kubwa ya mwanamke ukimkuna vizuri hapo hata kama anakula bamia au mnalala chini hatajali
 
Sijasoma yote lakini naweza kufikiri ni aina ya mwanamke gani anayeweza kuamka hadharani kuwa haridhishwi na mwanaume.
 
Mm ni mwanamke najua ninachokiongelea. Mwanamke anaekupenda anaweza kukuvumilia kutomfikisha kuliko kuvumilia kukosa matumizi mengine. Endelea kubisha na kujidanganya ati hitaji kuu la mwanamke ni kufikishwa.

Unless kuchepuka iwe ni tabia yake.

Waambie hao

Umalaya ni asili ya mtu haihusiani na kuridhishwa au kutokuridhishwa

Utasema unamfikisha haya umepata kazi ya mbali kdg tu miezi sita upo mbali nae anatembea na mwanaume mwingine eti hapo napo ujipe zigo la lawama kwamba kwakuwa nilikuwa nae mbali alikuwa na hisia za kimapenzi na mimi nilikuwa mbali,no waaay

Duniani kuna wanawake wa aina tatu

Malaya(wape chochote si wakuridhika)

Sio malaya(hawa hata asipolala na mwanaume mwaka bado hachepuki sio hulka yake)

Vigeugeu(Ukiwa nae hachepuki ukihamishwa mkoa kizazi anachepuka,ukirudi mkoa uliopo anaacha kuchepuka anabaki na wewe,ukiumwa kisukari huwezi mambo anachepuka,ukipona anaacha)

Mwanaume tungejua hii principle tusingeteseka ...
 
Mm ni mwanamke najua ninachokiongelea. Mwanamke anaekupenda anaweza kukuvumilia kutomfikisha kuliko kuvumilia kukosa matumizi mengine. Endelea kubisha na kujidanganya ati hitaji kuu la mwanamke ni kufikishwa.

Unless kuchepuka iwe ni tabia yake.
Fact
 
Kama unadhani sababu ya mwanamke....kutoka nje ya mahusiano ni kutofikishwa tu.... umebugi!....si wangechukua hata matango!.....sababu ni nyingi... nyingine ni za kimasihara tu!
 
Nchi ipo Uchumi wa Kati kwa Sasa hakuna haja ya kufikishana JPM kashatufikisha.
 
Back
Top Bottom