Ni lazima kuwa member wa nssf?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ni lazima kuwa member wa nssf??

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Binti Lawrence, Mar 11, 2011.

 1. B

  Binti Lawrence Member

  #1
  Mar 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadau naomba kusaidiwa uelewa katika hili. Hivi ni lazima kwa watumishi wote wa serikali, mashirika ya umma na yale yasiyo ya kiserikali kuhifadhi mafao yao katika mfuko wa NSSF?. Na kama si lazima ni taratibu zipi zifuatwe ili kuhamishia mafao yao katika mifuko mingine ya jamii kama PSPF na mingineyo.
   
 2. Mwendabure

  Mwendabure JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 2,054
  Likes Received: 296
  Trophy Points: 180
  Nahisi ni ubabe wa mwaajiri (serikali) sidhani kama ni lazima kujiunga na NSSF. Hawa jamaa sina hamu nao kabisa kwa jinsi walivyo wasumbufu. Looh!!
   
Loading...