Ni laana kwa familia ya Mbowe kuwadhurumu waandishi wa habari wanyonge

Ndugu zangu Watanzania,

Ogopa sana machozi ya mnyonge yanayotiririka kutoka katika macho yake,ogopa sauti ya kilio cha mnyonge kinacho bubujisha machozi kwa kudhurumiwa haki yake,ogopa na kwepa sana manung'uniko ya mnyonge juu ya haki yake.kwa kuwa huwa machozi yake hayapotei wala kwenda bure, haki yake huwa haipotei bure,jasho lake huwa haliendi bure kwa kuwa jicho la Mungu huwatizama moja kwa moja watu wanyonge na maskini. ukiwazuruma maskini na wanyonge kwa sababu ya jeuri ya pesa zako au cheo chako au umaarufu wako basi juwa mkono wa hasira wa Mungu utakuwa juu yako na kizazi chako chote.

Leo hii kwa sababu ya jeuri ya pesa,umaarufu wa kisiasa pamoja na nafasi ya kiuongozi katika chama familia ya Mbowe imewadhurumu na kuwanyima haki yao waandishi wa habari takribani kumi ,ambao walikuwa wanafanya kazi katika gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Familia ya Mbowe Mwenyewe.waandishi hao walivunjiwa mikataba ya kazi pasipo kulipwa stahiki zao ikiwepo kulipwa malimbikizo ya mishahara yao ya kiasi cha shilingi milioni 62 ambapo ni baada ya mazungumzo ya pande mbili ,kwa kuwa awali ilikuwa ni million 114.

Kitendo hiki ni cha uonevu , unyanyasaji, ukandamizwaji, ukatili, unyonyaji,ubabe,mabavu ,jeuri pamoja na dharau kubwa sana. Hivi familia ya Mbowe wanashindwa kushikwa na huruma kweli? Yaani mtu amekufanyia kazi kwa uaminifu na weledi wa hali ya juu unashindwa kumlipa madai yake? Unashindwa kuguswa na maisha ya watu? Unashindwa kutambua kuwa watu hawa wana familia,wana watoto wanaosomesha,wana ndugu wanaowategemea,wana mahitaji wanayohitaji kama binadamu?

Huwezi ukaona huruma kweli mtu anawahi kazini kwako kila siku halafu wewe mwisho wa siku unashindwa kumlipa haki yake anayostahili? Sawa sikatai pengine biashara inaweza ikawa mbaya au mambo yakaenda ndivyo sivyo kibiashara au kampuni ikawa haipati faida au imepata hasara au mauzo yameshuka sana au gharama za uendeshaji zimeongezeka huku faida inayopatikana ni ndogo sana.

Kama jibu ni hilo ,kwanini usikae nao chini au mezani mkazungumza kwa hekima,uwazi na kuwekana sawa kwa kuambiana ukweli juu ya hali halisi ya kibiashara inavyokwenda? Unajuwa sisi sote ni binadamu na hakuna mtu anayeweza kushindwa kuelewa mkikaa chini kirafiki mkaelezana ukweli. hata mimi mwenyewe kuna mahali na wakati unaweza kufanya kazi bila malipo kwa muda fulani na ukawa na amani na morali ya kazi kwa kuwa unatambua hali ya kibiashara na kujuwa sasa hali ni ngumu na hivyo inahitaji kuvumiliana.ukiwaeleza watu na kuwaomba kuvumiliana wakati wa mpito hakuna anayeweza kukataa kukuelewa maana tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana.

Sasa unapovunja mikataba ya watu kibabe,ukashindwa kuwalipa stahiki na haki zao.mkaenda mahakamani wakashinda kesi na ukatakiwa kuwalipa na wewe ukakubali halafu baadaye unaanza ujeuri kwa kuwa tu unajuwa unazo pesa za kutosha kuweka mawakili uwatakao unakuwa hutendi haki.unaweza kushinda kwa janja janja ya kuwazungusha kuwapa haki zao ,lakini huwezi ukashinda mbele ya Mungu atoaye haki kwa haki .

Hivi kweli familia ya Mbowe inashindwa kuwapa na kuwalipa haki zao hao waandishi wa habari wanaodai million 62 ambazo hata mwanaye amekubali kuwa ni sahihi? Hivi Mbowe na familia yake anajenga taswira gani na kupeleka ujumbe gani kwa watanzania wanyonge? Analeta picha ipi? Ni vipi anaweza akawa anahubiri kwa nguvu neno haki katika mdomo wake wakati yeye mwenyewe siyo mtenda haki na amedhurumu jasho la wanyonge? Anaweza vipi wanyooshea kidole wengine watende haki wakati yeye kashindwa kuwa mtenda haki?

Anaweza vipi kusema anauchungu na maisha ya watu wakati ameshindwa kuwapa haki stahili waliotoa jasho lao kumfanyia kazi kama wafanya kazi wake? Kama ameshindwa kutenda haki na kuguswa na maisha ya wafanyakazi wake kumi tu ataweza vipi kuguswa na maisha ya watanzania million 62? Ataweza vipi kuwa na huruma na kuwasikiliza wenye shida? Ataweza vipi wasaidia na wasikiliza wanaodai na kupigania haki ikiwa yeye mwenyewe wapo aliowadhurumu haki zao? Anaweza kupata wapi ujasiri wa kutamka neno HAKI na akaeleweka kwa watu?

Mbowe na familia yako lipeni haki za watu.kuweni na huruma,gusweni na maisha ya watu,siyo vyema kufanya dhuruma,msiitumie nafasi zenu na uwezo wenu wa kifedha kuumiza watu wanyonge.,heshima ni pamoja na kuwatendea watu wote haki ,ni pamoja na kusemewa vizuri na watu wote. Wana familia kama ulivyo nayo wewe.acha kuwatesa na kuwasumbua. Ni laana mbele za Mwenyezi Mungu. usitake kupata laana na hasira ya Mungu ikawa juu yako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Hivi kweli wewe akili zako zinafanya kazi m ipasavyo! Kuna wakati ufike na wewe ujitambue! Uchawa acha!
 
Refers to Cap212
 
Tupaze sauti zetu kuwatetea waandishi wa habari wanyonge walipwe pesa zao.tusifumbie macho dhuruma .leo kwako kesho kwangu.ukikaa kimya kwa sababu unaona haikuhusu basi tambua ya kuwa watu watakaa kimya pia yakikukuta.
Si waende mahakamani mkuu? Au tatizo nini?
 
Pole sana ndugu muandishi wa Tanzania daima
 
CCM ilaaniwe Kwa kuwa na uongozi mbovu 2015 - 2021 na kusababisha biashara nyingi kuyumba, kutetereka na zingine kufa kabisa huku mamia ya ajira za moja kwa moja bila kusahau mnyororo mzima uliokuwa ukutegemea biashara iliyokuwa kuathiriwa maisha ya watanzania wengi

2020 23 Juni
🔴#BREAKING: PIGO, GAZETI LA TANZANIA DAIMA LAFUTIWA LESENI

View: https://m.youtube.com/watch?v=IrWIMa9yTa0
Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo idara ya Habari Maelezo imelifungia Gazeti la Tanzania Daima, ambapo kuanzia juni 24, 2020 gazeti hilo halitaruhusiwa kuchapishwa wala kusambazwa popote nchini au nje ya nchi kufuatia uamuzi wa kusitisha leseni uendeshaji na usambazaji wa Gazeti hilo.

Hapa ..Lucas atapita kama hajui vile.... :D
:D
 
Si waende mahakamani mkuu? Au tatizo nini?
Mahakamani walishakwenda na hukumu ilishatoka ya kuamuru mbowe na familia yake walipe pesa.ambapo familia ya Mbowe ilisema kuwa italipa kwa awamu tatu ambapo mwezi februari ndio ulikuwa mwisho wa kumaliza malipo kwa mujibu wa makubaliano ya pande zote mbili.lakini kwa kuwa familia ya Mbowe ni madhulumati wakaanza chenga chenga utafikiri mpira .
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ogopa sana machozi ya mnyonge yanayotiririka kutoka katika macho yake,ogopa sauti ya kilio cha mnyonge kinacho bubujisha machozi kwa kudhurumiwa haki yake,ogopa na kwepa sana manung'uniko ya mnyonge juu ya haki yake.kwa kuwa huwa machozi yake hayapotei wala kwenda bure, haki yake huwa haipotei bure,jasho lake huwa haliendi bure kwa kuwa jicho la Mungu huwatizama moja kwa moja watu wanyonge na maskini. ukiwazuruma maskini na wanyonge kwa sababu ya jeuri ya pesa zako au cheo chako au umaarufu wako basi juwa mkono wa hasira wa Mungu utakuwa juu yako na kizazi chako chote.

Leo hii kwa sababu ya jeuri ya pesa,umaarufu wa kisiasa pamoja na nafasi ya kiuongozi katika chama familia ya Mbowe imewadhurumu na kuwanyima haki yao waandishi wa habari takribani kumi ,ambao walikuwa wanafanya kazi katika gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Familia ya Mbowe Mwenyewe.waandishi hao walivunjiwa mikataba ya kazi pasipo kulipwa stahiki zao ikiwepo kulipwa malimbikizo ya mishahara yao ya kiasi cha shilingi milioni 62 ambapo ni baada ya mazungumzo ya pande mbili ,kwa kuwa awali ilikuwa ni million 114.

Kitendo hiki ni cha uonevu , unyanyasaji, ukandamizwaji, ukatili, unyonyaji,ubabe,mabavu ,jeuri pamoja na dharau kubwa sana. Hivi familia ya Mbowe wanashindwa kushikwa na huruma kweli? Yaani mtu amekufanyia kazi kwa uaminifu na weledi wa hali ya juu unashindwa kumlipa madai yake? Unashindwa kuguswa na maisha ya watu? Unashindwa kutambua kuwa watu hawa wana familia,wana watoto wanaosomesha,wana ndugu wanaowategemea,wana mahitaji wanayohitaji kama binadamu?

Huwezi ukaona huruma kweli mtu anawahi kazini kwako kila siku halafu wewe mwisho wa siku unashindwa kumlipa haki yake anayostahili? Sawa sikatai pengine biashara inaweza ikawa mbaya au mambo yakaenda ndivyo sivyo kibiashara au kampuni ikawa haipati faida au imepata hasara au mauzo yameshuka sana au gharama za uendeshaji zimeongezeka huku faida inayopatikana ni ndogo sana.

Kama jibu ni hilo ,kwanini usikae nao chini au mezani mkazungumza kwa hekima,uwazi na kuwekana sawa kwa kuambiana ukweli juu ya hali halisi ya kibiashara inavyokwenda? Unajuwa sisi sote ni binadamu na hakuna mtu anayeweza kushindwa kuelewa mkikaa chini kirafiki mkaelezana ukweli. hata mimi mwenyewe kuna mahali na wakati unaweza kufanya kazi bila malipo kwa muda fulani na ukawa na amani na morali ya kazi kwa kuwa unatambua hali ya kibiashara na kujuwa sasa hali ni ngumu na hivyo inahitaji kuvumiliana.ukiwaeleza watu na kuwaomba kuvumiliana wakati wa mpito hakuna anayeweza kukataa kukuelewa maana tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana.

Sasa unapovunja mikataba ya watu kibabe,ukashindwa kuwalipa stahiki na haki zao.mkaenda mahakamani wakashinda kesi na ukatakiwa kuwalipa na wewe ukakubali halafu baadaye unaanza ujeuri kwa kuwa tu unajuwa unazo pesa za kutosha kuweka mawakili uwatakao unakuwa hutendi haki.unaweza kushinda kwa janja janja ya kuwazungusha kuwapa haki zao ,lakini huwezi ukashinda mbele ya Mungu atoaye haki kwa haki .

Hivi kweli familia ya Mbowe inashindwa kuwapa na kuwalipa haki zao hao waandishi wa habari wanaodai million 62 ambazo hata mwanaye amekubali kuwa ni sahihi? Hivi Mbowe na familia yake anajenga taswira gani na kupeleka ujumbe gani kwa watanzania wanyonge? Analeta picha ipi? Ni vipi anaweza akawa anahubiri kwa nguvu neno haki katika mdomo wake wakati yeye mwenyewe siyo mtenda haki na amedhurumu jasho la wanyonge? Anaweza vipi wanyooshea kidole wengine watende haki wakati yeye kashindwa kuwa mtenda haki?

Anaweza vipi kusema anauchungu na maisha ya watu wakati ameshindwa kuwapa haki stahili waliotoa jasho lao kumfanyia kazi kama wafanya kazi wake? Kama ameshindwa kutenda haki na kuguswa na maisha ya wafanyakazi wake kumi tu ataweza vipi kuguswa na maisha ya watanzania million 62? Ataweza vipi kuwa na huruma na kuwasikiliza wenye shida? Ataweza vipi wasaidia na wasikiliza wanaodai na kupigania haki ikiwa yeye mwenyewe wapo aliowadhurumu haki zao? Anaweza kupata wapi ujasiri wa kutamka neno HAKI na akaeleweka kwa watu?

Mbowe na familia yako lipeni haki za watu.kuweni na huruma,gusweni na maisha ya watu,siyo vyema kufanya dhuruma,msiitumie nafasi zenu na uwezo wenu wa kifedha kuumiza watu wanyonge.,heshima ni pamoja na kuwatendea watu wote haki ,ni pamoja na kusemewa vizuri na watu wote. Wana familia kama ulivyo nayo wewe.acha kuwatesa na kuwasumbua. Ni laana mbele za Mwenyezi Mungu. usitake kupata laana na hasira ya Mungu ikawa juu yako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mara nyingi waajiriwa huwa wanashindwa kuelewa kanuni ya biashara wanataka kufananisha ajira za private sector na serikali, private sector wako kwa ajili ya kutengeneza faida, mfanyakazi inatakiwa uzalishe ipatikane faida na malipo yako baada ya kutoa gharama zote za uzalishaji.
 
Mahakamani walishakwenda na hukumu ilishatoka ya kuamuru mbowe na familia yake walipe pesa.ambapo familia ya Mbowe ilisema kuwa italipa kwa awamu tatu ambapo mwezi februari ndio ulikuwa mwisho wa kumaliza malipo kwa mujibu wa makubaliano ya pande zote mbili.lakini kwa kuwa familia ya Mbowe ni madhulumati wakaanza chenga chenga utafikiri mpira .
Warudishwe tena mahakamani maana mahakama za ccm zinatenda haki. Au vipi wakashtaki kwa makonda
 
Mahakama ilitoa kibali cha kukamatwa kwa nyumba ili ipigwe mnada kusudi pesa zipatikane za kuwalipa hawa wafanyakazi waliozulumiwa pesa zao.
 
Kama ni hivyo sasa wewe unalalamika nini? Watapata pesa yao nyumba ikipigwa mnada
 
Mbowe na familia yake ni majeuri na matapeli maana mpaka muda huu hawajaanza kulipa hata awamu moja tu kama ilivyo kuwa imekubaliwa.mbowe imezoea kuzulumu hadi chama chake tu kwa kukipa madai yasiyo na misingi kwa gia ya kusema eti amekikopesha chama wakati wa kampeni .mbowe hajaanza leo kufanya ujanja ujanja na uhuni uhuni kwenye masuala ya pesa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ogopa sana machozi ya mnyonge yanayotiririka kutoka katika macho yake,ogopa sauti ya kilio cha mnyonge kinacho bubujisha machozi kwa kudhurumiwa haki yake,ogopa na kwepa sana manung'uniko ya mnyonge juu ya haki yake.kwa kuwa huwa machozi yake hayapotei wala kwenda bure, haki yake huwa haipotei bure,jasho lake huwa haliendi bure kwa kuwa jicho la Mungu huwatizama moja kwa moja watu wanyonge na maskini. ukiwazuruma maskini na wanyonge kwa sababu ya jeuri ya pesa zako au cheo chako au umaarufu wako basi juwa mkono wa hasira wa Mungu utakuwa juu yako na kizazi chako chote.

Leo hii kwa sababu ya jeuri ya pesa,umaarufu wa kisiasa pamoja na nafasi ya kiuongozi katika chama familia ya Mbowe imewadhurumu na kuwanyima haki yao waandishi wa habari takribani kumi ,ambao walikuwa wanafanya kazi katika gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Familia ya Mbowe Mwenyewe.waandishi hao walivunjiwa mikataba ya kazi pasipo kulipwa stahiki zao ikiwepo kulipwa malimbikizo ya mishahara yao ya kiasi cha shilingi milioni 62 ambapo ni baada ya mazungumzo ya pande mbili ,kwa kuwa awali ilikuwa ni million 114.

Kitendo hiki ni cha uonevu , unyanyasaji, ukandamizwaji, ukatili, unyonyaji,ubabe,mabavu ,jeuri pamoja na dharau kubwa sana. Hivi familia ya Mbowe wanashindwa kushikwa na huruma kweli? Yaani mtu amekufanyia kazi kwa uaminifu na weledi wa hali ya juu unashindwa kumlipa madai yake? Unashindwa kuguswa na maisha ya watu? Unashindwa kutambua kuwa watu hawa wana familia,wana watoto wanaosomesha,wana ndugu wanaowategemea,wana mahitaji wanayohitaji kama binadamu?

Huwezi ukaona huruma kweli mtu anawahi kazini kwako kila siku halafu wewe mwisho wa siku unashindwa kumlipa haki yake anayostahili? Sawa sikatai pengine biashara inaweza ikawa mbaya au mambo yakaenda ndivyo sivyo kibiashara au kampuni ikawa haipati faida au imepata hasara au mauzo yameshuka sana au gharama za uendeshaji zimeongezeka huku faida inayopatikana ni ndogo sana.

Kama jibu ni hilo ,kwanini usikae nao chini au mezani mkazungumza kwa hekima,uwazi na kuwekana sawa kwa kuambiana ukweli juu ya hali halisi ya kibiashara inavyokwenda? Unajuwa sisi sote ni binadamu na hakuna mtu anayeweza kushindwa kuelewa mkikaa chini kirafiki mkaelezana ukweli. hata mimi mwenyewe kuna mahali na wakati unaweza kufanya kazi bila malipo kwa muda fulani na ukawa na amani na morali ya kazi kwa kuwa unatambua hali ya kibiashara na kujuwa sasa hali ni ngumu na hivyo inahitaji kuvumiliana.ukiwaeleza watu na kuwaomba kuvumiliana wakati wa mpito hakuna anayeweza kukataa kukuelewa maana tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana.

Sasa unapovunja mikataba ya watu kibabe,ukashindwa kuwalipa stahiki na haki zao.mkaenda mahakamani wakashinda kesi na ukatakiwa kuwalipa na wewe ukakubali halafu baadaye unaanza ujeuri kwa kuwa tu unajuwa unazo pesa za kutosha kuweka mawakili uwatakao unakuwa hutendi haki.unaweza kushinda kwa janja janja ya kuwazungusha kuwapa haki zao ,lakini huwezi ukashinda mbele ya Mungu atoaye haki kwa haki .

Hivi kweli familia ya Mbowe inashindwa kuwapa na kuwalipa haki zao hao waandishi wa habari wanaodai million 62 ambazo hata mwanaye amekubali kuwa ni sahihi? Hivi Mbowe na familia yake anajenga taswira gani na kupeleka ujumbe gani kwa watanzania wanyonge? Analeta picha ipi? Ni vipi anaweza akawa anahubiri kwa nguvu neno haki katika mdomo wake wakati yeye mwenyewe siyo mtenda haki na amedhurumu jasho la wanyonge? Anaweza vipi wanyooshea kidole wengine watende haki wakati yeye kashindwa kuwa mtenda haki?

Anaweza vipi kusema anauchungu na maisha ya watu wakati ameshindwa kuwapa haki stahili waliotoa jasho lao kumfanyia kazi kama wafanya kazi wake? Kama ameshindwa kutenda haki na kuguswa na maisha ya wafanyakazi wake kumi tu ataweza vipi kuguswa na maisha ya watanzania million 62? Ataweza vipi kuwa na huruma na kuwasikiliza wenye shida? Ataweza vipi wasaidia na wasikiliza wanaodai na kupigania haki ikiwa yeye mwenyewe wapo aliowadhurumu haki zao? Anaweza kupata wapi ujasiri wa kutamka neno HAKI na akaeleweka kwa watu?

Mbowe na familia yako lipeni haki za watu.kuweni na huruma,gusweni na maisha ya watu,siyo vyema kufanya dhuruma,msiitumie nafasi zenu na uwezo wenu wa kifedha kuumiza watu wanyonge.,heshima ni pamoja na kuwatendea watu wote haki ,ni pamoja na kusemewa vizuri na watu wote. Wana familia kama ulivyo nayo wewe.acha kuwatesa na kuwasumbua. Ni laana mbele za Mwenyezi Mungu. usitake kupata laana na hasira ya Mungu ikawa juu yako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Yule.musiba aliwalipa.wale.wakwake.aliowatumia.kuwatukana kina. Suphiano juma?.
 
Wewe unaifahamu familia ya MBOWE?
UNAJUA NYUMBA WANAZOMILIKI HAPA TOWN?.USIFIRI NI.WACHIMBA CHUMVI KAMA.WEWE ?. UNASUBIRI.UTEUZI
Hela na pesa zake hazituhusi sisi bali tunachohitaji alipe madeni ya wafanyakazi waliotoa jasho kumfanyia kazi.sisi watetezi wa wanyonge ndicho tunachokihitaji kuona wafanyakazi hawa wanapata haki zao walizozifanya kazi na wanazostahili kupata. Angekuwa na hela asingefanya dhuluma aliyofanya kwa waandishi hawa wa habari.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Ogopa sana machozi ya mnyonge yanayotiririka kutoka katika macho yake,ogopa sauti ya kilio cha mnyonge kinacho bubujisha machozi kwa kudhurumiwa haki yake,ogopa na kwepa sana manung'uniko ya mnyonge juu ya haki yake.kwa kuwa huwa machozi yake hayapotei wala kwenda bure, haki yake huwa haipotei bure,jasho lake huwa haliendi bure kwa kuwa jicho la Mungu huwatizama moja kwa moja watu wanyonge na maskini. ukiwazuruma maskini na wanyonge kwa sababu ya jeuri ya pesa zako au cheo chako au umaarufu wako basi juwa mkono wa hasira wa Mungu utakuwa juu yako na kizazi chako chote.

Leo hii kwa sababu ya jeuri ya pesa,umaarufu wa kisiasa pamoja na nafasi ya kiuongozi katika chama familia ya Mbowe imewadhurumu na kuwanyima haki yao waandishi wa habari takribani kumi ,ambao walikuwa wanafanya kazi katika gazeti la Tanzania Daima linalomilikiwa na Familia ya Mbowe Mwenyewe.waandishi hao walivunjiwa mikataba ya kazi pasipo kulipwa stahiki zao ikiwepo kulipwa malimbikizo ya mishahara yao ya kiasi cha shilingi milioni 62 ambapo ni baada ya mazungumzo ya pande mbili ,kwa kuwa awali ilikuwa ni million 114.

Kitendo hiki ni cha uonevu , unyanyasaji, ukandamizwaji, ukatili, unyonyaji,ubabe,mabavu ,jeuri pamoja na dharau kubwa sana. Hivi familia ya Mbowe wanashindwa kushikwa na huruma kweli? Yaani mtu amekufanyia kazi kwa uaminifu na weledi wa hali ya juu unashindwa kumlipa madai yake? Unashindwa kuguswa na maisha ya watu? Unashindwa kutambua kuwa watu hawa wana familia,wana watoto wanaosomesha,wana ndugu wanaowategemea,wana mahitaji wanayohitaji kama binadamu?

Huwezi ukaona huruma kweli mtu anawahi kazini kwako kila siku halafu wewe mwisho wa siku unashindwa kumlipa haki yake anayostahili? Sawa sikatai pengine biashara inaweza ikawa mbaya au mambo yakaenda ndivyo sivyo kibiashara au kampuni ikawa haipati faida au imepata hasara au mauzo yameshuka sana au gharama za uendeshaji zimeongezeka huku faida inayopatikana ni ndogo sana.

Kama jibu ni hilo ,kwanini usikae nao chini au mezani mkazungumza kwa hekima,uwazi na kuwekana sawa kwa kuambiana ukweli juu ya hali halisi ya kibiashara inavyokwenda? Unajuwa sisi sote ni binadamu na hakuna mtu anayeweza kushindwa kuelewa mkikaa chini kirafiki mkaelezana ukweli. hata mimi mwenyewe kuna mahali na wakati unaweza kufanya kazi bila malipo kwa muda fulani na ukawa na amani na morali ya kazi kwa kuwa unatambua hali ya kibiashara na kujuwa sasa hali ni ngumu na hivyo inahitaji kuvumiliana.ukiwaeleza watu na kuwaomba kuvumiliana wakati wa mpito hakuna anayeweza kukataa kukuelewa maana tunaishi kwa kutegemeana na kusaidiana.

Sasa unapovunja mikataba ya watu kibabe,ukashindwa kuwalipa stahiki na haki zao.mkaenda mahakamani wakashinda kesi na ukatakiwa kuwalipa na wewe ukakubali halafu baadaye unaanza ujeuri kwa kuwa tu unajuwa unazo pesa za kutosha kuweka mawakili uwatakao unakuwa hutendi haki.unaweza kushinda kwa janja janja ya kuwazungusha kuwapa haki zao ,lakini huwezi ukashinda mbele ya Mungu atoaye haki kwa haki .

Hivi kweli familia ya Mbowe inashindwa kuwapa na kuwalipa haki zao hao waandishi wa habari wanaodai million 62 ambazo hata mwanaye amekubali kuwa ni sahihi? Hivi Mbowe na familia yake anajenga taswira gani na kupeleka ujumbe gani kwa watanzania wanyonge? Analeta picha ipi? Ni vipi anaweza akawa anahubiri kwa nguvu neno haki katika mdomo wake wakati yeye mwenyewe siyo mtenda haki na amedhurumu jasho la wanyonge? Anaweza vipi wanyooshea kidole wengine watende haki wakati yeye kashindwa kuwa mtenda haki?

Anaweza vipi kusema anauchungu na maisha ya watu wakati ameshindwa kuwapa haki stahili waliotoa jasho lao kumfanyia kazi kama wafanya kazi wake? Kama ameshindwa kutenda haki na kuguswa na maisha ya wafanyakazi wake kumi tu ataweza vipi kuguswa na maisha ya watanzania million 62? Ataweza vipi kuwa na huruma na kuwasikiliza wenye shida? Ataweza vipi wasaidia na wasikiliza wanaodai na kupigania haki ikiwa yeye mwenyewe wapo aliowadhurumu haki zao? Anaweza kupata wapi ujasiri wa kutamka neno HAKI na akaeleweka kwa watu?

Mbowe na familia yako lipeni haki za watu.kuweni na huruma,gusweni na maisha ya watu,siyo vyema kufanya dhuruma,msiitumie nafasi zenu na uwezo wenu wa kifedha kuumiza watu wanyonge.,heshima ni pamoja na kuwatendea watu wote haki ,ni pamoja na kusemewa vizuri na watu wote. Wana familia kama ulivyo nayo wewe.acha kuwatesa na kuwasumbua. Ni laana mbele za Mwenyezi Mungu. usitake kupata laana na hasira ya Mungu ikawa juu yako.

Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
Mpumbavu mkubwa wewe,unaandika mada ndefu kisa Mbowe, Kikwete alimdhulumu Lowassa haki yake ya Urais, Magufuli ameua makumi ya wapinzani, akiwemo Ben Saanane,jinga sana wewe
 
Acha kuandika ujinga wako hapa wewe. Unaposema Lowassa alidhulumiwa Urais unaamaanisha nini? Nani kakwambia Urais unatolewa kama peremende? Au unafikiri nchi hii ni ya kifalme?
 
Back
Top Bottom