Ni kwelii wanaume wa kiafrika hatupendi watoto?

ahahaaa wa zamani sio wa sasa
wa sasa hivi wanaogopa kumpa mtu mimba
ila mtoto akishazaliwa wa kwanza kumdai
 
ahahaaa wa zamani sio wa sasa
wa sasa hivi wanaogopa kumpa mtu mimba
ila mtoto akishazaliwa wa kwanza kumdai

Wee huwa hawamdai mapema wanasubiri mpaka akue asomeshwe na mamake na wajomba kisha ndio hao wanaanza oh namtaka mtoto wangu.
 
Wee huwa hawamdai mapema wanasubiri mpaka akue asomeshwe na mamake na wajomba kisha ndio hao wanaanza oh namtaka mtoto wangu.
hao wa zamani pia wa karne hii ukianza safari ya kwenda labour room tu washaanza na kuupload photo facebook
 
Back
Top Bottom