Ni kweli?

Hapana si kweli. Kanisa takatifu katoliki la mitume lililoasisiwa na Yesu mwenyewe halina ubia na wazulumati wakiwemo watoza ushuru na mabeberu.
Pole sana.....
 
ungetwambia kabis wewe ambaye umeshtukia huo mtego umepiga hatu gani.

maana kuna watu ni wafuasi wa dini na wana mawe,sio hela za mboga.
Wengi wao wameficha maovu chini ya mwamvuli wa dini,hiii mm ni muhanga kila cku inaniumiza sana na ni mtu hutegemei kwa macho ya kawaida.
 
Hapana si kweli. Kanisa takatifu katoliki la mitume lililoasisiwa na Yesu mwenyewe halina ubia na wazulumati wakiwemo watoza ushuru na mabeberu.
In nomine patric et filli et spiritus sacti. Amen.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…