Ni kweli yametokea

Tamaa mbaya, siku nyingine bidada anaenda bila shida maana kibali kimetolewa. na hv ana njaa na hela ndio basi tena
 

si wanasemaga mke anauma sasa huyu jamaa sijui imekuwaje........
 
Mwenyemke alienda kumpitia rafiki yake baada ya hapo akaenda kumpitia na balozi.naona ndipo alipochelewa halafu huwa tunamjadili sana mwanamke kwamba aliamua kumfanyizia mmewe kwamba alishindwa kumlaghai laghai jamaa ili mmewe awakute

Mmmmmmh asee hii kali
 
Hehehehe kwani aliwakuta washamaliza kitu gani? Unaweza kuta ni vinywaji tu ili amzubaishe jamaa ila jamaa akawa na haraka akawahi kuondoka.
 
Hapo kweli kuna kupendana?Yani kisa pesa tu ndio umtoe mkeo kafara??
 
ahahahahahahahahha najaribu kuwaza humo ndani ya chumba walianzaje had wakamilza within dakika moja aseee

huyo mke nae alitaka tu... alishindwa nini kujichelewesha mpaka wakutwe!!! mi ata nsingemuelewa, eti amekula mzigo tiari..... pangechimbika
 
huyo mke nae alitaka tu... alishindwa nini kujichelewesha mpaka wakutwe!!! mi ata nsingemuelewa, eti amekula mzigo tiari..... pangechimbika

Ahhhhha yaani hapo kosa kubwa analo mke japo wote wamekosea
 
Sidhani!
Yaani akili inawaza kufumaniwa na huku anawajibika!

Si aliona mme anachelewa kuja ahahhha yaani sjui kama ningekua ndo huyo mume sjui ningejichimbia wapi kuepuka aibu hii mbele ya balozi
 
Si aliona mme anachelewa kuja ahahhha yaani sjui kama ningekua ndo huyo mume sjui ningejichimbia wapi kuepuka aibu hii mbele ya balozi

Je wewe ndio ungekuwa huyo mke? Lkn hii show mke si kalipwa chake ama?
 
Eti MO11 unaenda guest mkeo nakuambia jamaa kamaliza, swali la kwanza kamaliza nini??

inaonekana jamaa haiwezi kazi nitamwambia mke wangu awe anamchuna tu kama mambo yangu yapo hovyo
 
Last edited by a moderator:
Je wewe ndio ungekuwa huyo mke? Lkn hii show mke si kalipwa chake ama?

Nngekua huyo mke nisingevua pichu yangu inaelekea ana ugwadu wa sku nyingi mbali na kua na mume hakua akimtosheleza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…