Ni kweli wavaa oversize huwa na tabia hizi?

Ni kweli wavaa oversize huwa na tabia hizi?

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,935
1409160945738.jpg1409161013208.jpg

Tabia Za watu wanaovaa nguo Kubwa
kuliko maumbile yao: huwa ni Wakorofi,
wenye jazba, wakujichukulia sheria
mkononi, na huwa wanavuta sigara kali
(bangi) #japosiowote aina hii ya watu
wanapatikana maeneo gani Tanzania?
 
...watu wafupi wengi hupenda kuvaa oversize,ingawa wakati fulani kupiga raba na tshirt oversize ilikuwa fashen kwa kila mtu ....
 
kuna jamaa yangu hapa kaniambia wanaopenda sana kuvaaa hvyo sanasana ni wachaga na watu wa kusini Mtwara..

Weeee siyo kila kitu manasingizia chaga achen zenu mbona wake zenu hamtusingizii
 
Back
Top Bottom