Ndalilo
JF-Expert Member
- Jan 30, 2013
- 2,964
- 6,351
Hivi hiyo itakuwa ni mshahara tu au na malupupu yooote waliyokuwa wanayapata???
Tusisahau watumishi serikalini wana mishahara midogo ila waliishi kama WAFALME! Tafuta kamishna mmoja wa wizara kipindi kile mkwere yupo madarakani, muulize mshahara wake...haukuzidi 2.5million, ila malupulupu na makila kitu unakuta anauzunguka mshahara wake mara tatu mpaka nne.
Vivyo hivyo kwa wa ngazi za chini! Pengine jamaa amejumlisha mambo mengi anayopata mtu mmoja mmoja kwa mwezi....pengine, maana hata sijui!